Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Apo sasa inategemeana na kocha ..Rashid akitua kwenye mikono ya mtu kama Pep au Conte anaenza kuwa bora zaid..
 
Kulitakiwa kuwe na plan ya kuachana na Pogba toka msimu ulivyoisha.

Sasa hivi kwa viungo tulivyo navyo, hakuna replacement ya Pogba any soon.

Tatizo litakuwa na Ed ambaye anawaza faida ya kuwa na Pogba nje ya uwanja.
 
Kuna wakati naona bora asiuzwe (angalau kwa msimu huu) ili apate maumivu ya kucheza timu anaidhalikisha

He should be punished some how for the way he is treating United
Does he even care?

Bank account inasoma, anapata frequency ya kucheza kila week, endorsement nyingine zipo vizuri.
 
Rashford sio fighter? Unazungumzia mchezo gani mzee au golf hahahahahahaha rashford ana workrate kubwa sana
 
Ishu ya Rooney ilikuwa ni mshahara na alikuwa clear ktk hilo. Huyu haeleweki anataka nini na mambo yake yanaweza kufanya morali ya wachezaji wengine kushuka au kugawa timu kutokana na mtu mmoja anayetaka kuwa juu ya timu.
 
Nimesikia huku vijiweni kuwa Sanchez anahitajika na Inter Milan. Nilichogundua Inter wanafanya kazi kubwa sana kuinoa Man United na kuifanya iwe imara zaidi kuliko hata Ed Woodward.
 
Rashford Na lingard wana work rate ya juu ndani ya kikosi cha Man U japo wana upungufu wao pia
 
Rashford sio fighter? Unazungumzia mchezo gani mzee au golf hahahahahahaha rashford ana workrate kubwa sana
Mkuu amini nakuambia na wewe ni shahidi, Rashid anakuwa bora pale game inapokuwa upande wenu ..game ikiwakataa basi Rashid uoni kitu anafanya ..labda bdo ni kijana mdogo kadiri anavyokuwa atakuwa bora ..ila akina CR7, Messi walianzia kwa umri huo wa 21,20..
 
Rashford Na lingard wana work rate ya juu ndani ya kikosi cha Man U japo wana upungufu wao pia
Me naona uhalisia wa uwanjani ndo bora zaid, izo stats hazileti matokeo yeyote zinabak tu kuwa ni takwimu ...Rashid na Lingard sio straika za kutegemea kuleta kombe lolote lile ..labda baad ta misimu miwil/mitatu kupita..
 
Hii comment yako nahifadhi
 
Kuna siku huwa una point na hoja kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…