Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Unanifananisha ,aisee Mimi nilisema mapema Leo man u anashinda 3+ ,na nikawaambia wapiga zumari wa Chelsea wajiandae kisaikolojia ,maana hakuna asiyekijua kikosi cha Chelsea msimu huu, hata cha Everton au Watford ni vizuri .
 
Sema Leo mmekutana na mgonjwa dah ,

Kipimo kizuri mech yenu na wolves , leo haikuwa kipimo kizuri ,Chelsea msimu huu hata hao watabir wanaoipa nafas top 4 sijui wanavuta bangi ya wapi

Straiker jirud , Abraham beki Zuma & Christensen sub tomori ,
Ndio maana niliacha kuingia huku. Yaani Wolves ndio kipimo cha timu kama Man Utd?! SMH
 
Uzuri haka kawimbo huwa kapo kila msimu..
WATU WAANZA NA MUNKARI TUNAVYOZIDI KWENDA UKINGONI, wanaanza Ole sio kochä.
Nawaambia hivi, ikifika decemba kuelekea mwakani MTAMKUMBUKA hata Lukaku...
 
Endelea na ramli zako. Ole alishajifunza msimu uliopita. Yalimtokea puani.. hawez rudia makosa
Uzuri haka kawimbo huwa kapo kila msimu..
WATU WAANZA NA MUNKARI TUNAVYOZIDI KWENDA UKINGONI, wanaanza Ole sio kochä.
Nawaambia hivi, ikifika decemba kuelekea mwakani MTAMKUMBUKA hata Lukaku...
 
Nilivyoshabikia nilionekana Chizi!
Ninavyoipenda Man U acha tu!.

Wakuu nilianza kushabikia Man U 2007 just nikiwa Class🖐️

Enzi za utotoni! Nilianza kucheki mechi 2009 dah!



Pamoja sana United fans

Du kumbe mdogo mkuu
 
Uzuri haka kawimbo huwa kapo kila msimu..
WATU WAANZA NA MUNKARI TUNAVYOZIDI KWENDA UKINGONI, wanaanza Ole sio kochä.
Nawaambia hivi, ikifika decemba kuelekea mwakani MTAMKUMBUKA hata Lukaku...

Halafu mbona unateseka? Kwamba tukishinda tusishangilie? Nani hajui kama kuna kufungwa? Timu ipi ikishinda hawana wimbo?

Kocha kufukuzwa halikwepeki kwa soka la sasa sir alex tu alikaaa muda mrefu hata pep atafukuzwa huwez cheza soka la aina moja daily
 
Nimefurahi sana leo kutokuwaona Jones,Smalling na Rojo kwenye bench..
Bila kificho.. ROJO, SMALLING AU JONES mmoja wao angecheza jana pale nyuma kungekuwa na Boko nyingi sana.
LINDELOF + MAGUIRE + BISSAKA tumepata watu aisee... chondechonde majeruhi yawapite kushoto.
Pale kwenye Midfield bado hapako sawa hasa ukabaji, vijana wetu wanapitika kirahisi sana na wanazidiwa hata ubavu.. SCOT anajitahidi ila aongeze ukatili kidogo.
 
Scott uwezo wa kukaba yuko nyuma sana ukicompare na viungo wengine wengi , ingemaanisha angesajiliwa kiungo mwenye uwezo mkubwa wa kukaba ili kubadilishana na Matic
Hiyo "nyuma sana" umezidisha. Scot ni mwepesi kulinganisha na Matic. Mm nna confidence na midfielder trios ya Pogba, Scott na Pereira. Wataimpruvu tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…