Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,226
- 44,218
Ukiangalia kipindi Cha Fergie sio lazima uwe na kikosi Bora kuchukua ubingwa, just tusipoteze mechi kizembe na watoto wadogo. Hata hao wakubwa wakitufunga au kugawana point tutarank juu.Dah man utd tuna maneno,sioni watu wakiongelea mapungufu yetu eneo la kati. Hii chelshit sio kikosi cha kwanza kwa nijuavyo mimi.
Bado tulihitaji kuwa na Bruno. Daemusin kama niaminivyo mimi,kipimo chetu kamili ni mbweha.
GGMU
Fans wa United sometimes wanashangaza, eti hawaoni kazi ya Pogba
Anafanya kazi kubwa sana mkuu ila bado kuna mambo anatakiwa kuyaangalia,amepoteza mipira mingi sana kiutani tu. Kwa timu nzuri ile mipira aliyokuwa anapoteza ingeweza kuleta shida. | |
Mapungufu yapo lakini si kivile. Tuache tabia za Waingereza za kukosoakosoa tu bila sababuDah man utd tuna maneno,sioni watu wakiongelea mapungufu yetu eneo la kati. Hii chelshit sio kikosi cha kwanza kwa nijuavyo mimi.
Bado tulihitaji kuwa na Bruno. Daemusin kama niaminivyo mimi,kipimo chetu kamili ni mbweha.
GGMU
Target yetu this season Top4 mkuuKelele zimeanza.
Utasikia mnasema mnabeba ndoo. Manu hii bado sana.
Hamna linaloshindikana mkuuKelele zimeanza.
Utasikia mnasema mnabeba ndoo. Manu hii bado sana.
Safari angalau kuna mwangaSafari hii hatujatapeliwa kwenye usajili
Dogo hujamaliza hata homework, unaenda kuwapa balaa wenzako...View attachment 1178591
Endelea kupiga ramli mchawi wewe[emoji1]Msije mkaikataa hii timu badae
Kafanya nini cha ajabu?Maguire aiseee nimekubali
Ollachugga alkua anakuja kutusumbua kule jukwaa la liva namtafta sana huyu kiumbe yeye na beira boy
Sina sababu ya kumtafuta vuvuzela la Chelsea ndugu yangu Ollachuga Oc tuliagana zamani kabisaa [emoji23][emoji23][emoji23]