Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,633
- 38,733
Kwa mara ya kwanza naona shabiki wa aseno anataka man u ishinde...Man u 3 Chelsea 0
Nitakuja kufukua kaburi
Kabla match kuanza tumeshafungwq na Chelsea , Rashford ndio forward namba moja united
umeamua kunifukuzia fundi wangu Penison kwenye jukwaa.Nyie Timu yenu Haina pressure kivile, mmezoea kutochukua makombe,
Mpira wa ujanja ujanja hauna nafasi tena kwenye Modern Football ya sasa,kila timu ina pesa ya kufanya chochote inachotaka,na kwa timu yenu hii mtaishia kubeba makombe ya kombolela tu Epl na UEFA tena mpaka Yesu arudi.Nyie Timu yenu Haina pressure kivile, mmezoea kutochukua makombe,
Tupe tammy abraham..hahaha!!Man united na ninyi munamtaka mchezaji gani tuwape? AssAnal wamemtaka Luiz.. semeni na ninyi mnamtaka nani tuwape ...sisi tuna hazina kubwa ya vijana
Mkuu wakati Larson anakuja RVN ndio kaondoka, Rooney na Ronaldo ndio vitoto vinachipukia, wote Rooney na Ronaldo walikuwa bado hawajaanza kufunga Goli 20 kwa msimu kwenye ligi Ila walikuwa wanapita goli 10 kwa msimu. Ilikuwa mwaka 2006, Mwaka uliofuatia ndio Ronaldo akaanza kukiwasha 2007 mpaka 2009 ndio alipeak Man UTD.Mkuu Chief,wakati huo akina Larsson wanakuja kama sub ndani una Rooney,ole anakuwa supa sub lakini ndani yuko Andy Cole na Yorke. Chicharito anatokea bench lakini pembeni kuna van persie,rooney. Tofauti na sasa una mandzukic bench halafu ndani yumo rashford,lingard na Mason.
Wewe mwenyewe Striker wako ABRAHAMAN KINANA ,Jiandae kisaikolojia tuMan united na ninyi munamtaka mchezaji gani tuwape? AssAnal wamemtaka Luiz.. semeni na ninyi mnamtaka nani tuwape ...sisi tuna hazina kubwa ya vijana
BREAKING NEWS
Manchester United in advance talk sign free agent MARIO BALOTTELI.
HahahaaaaBREAKING NEWS
Manchester United in advance talk to sign free agent MARIO BALOTTELI.
LIGI YA MWAKA HUU HAITABIRIKI
NIPO MDOGOOOBwana mdogo upo
leo ni siku ya wajinga duniani?BREAKING NEWS
Manchester United in advance talk to sign free agent MARIO BALOTTELI.
NIPO MDOGOOO