Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nasikia BJ ame-log off ..... ..... mbona haleti matokeo si Manyu wanaongoza? khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Manda naye kasepa kabaki ati Mtotowamjini anachungulia tu.

BTW nasikia tetesi RVP ataumia leo na kuwa out for four months .... ..

Ndo tabu yako ndugu yangu ww, mkishinda basi n vurugu tupu....mm nko busy nahesabu ndugu zako Tabora huku.

BTW nasikia mnajiita wazee wa clean sheet? Ya kwel hayo?
 
:biggrin1: nimeona nikuwekee kwanza hii table hapa ili nikukumbushe kua sie tuko juu yenu..alafu cha pili watu washamba na ambao hawajazoea kuweka clean sheet utawajua tuu...man utd how many times we keep clean sheet for 10games lakini wala sigambi...maana tushazoea...arsenal mmeshazoeaga kuachia magoli sana tu ndio maana sasa hivi mnajishangaa imekuaje...its only a matter of time before you conceed goals...nitawakumbusheni sana mtakapoanza kuingiza nne tano kwa game...

hahaha hiyo gape ya point moja .. haha na ndo Kwanzaa mwanzo wa msimu isitoshe umeshinda game mbili tumeshinda game moja lakini umetuacha point point moja.. haha.. hii inaonesha how dhaifu manure is ..
Come on!! We went whole season unbeaten ... Hii clean sheet si lolote si chochote compare na the mighty invisibles
manure nendeni whole season unbeaten
then ndio tuje kuongea hiyo history genuine ya 10 games clean sheet ... " oops nimesahau mshapigwa goli 5 so far" try next year maybe mtakuja kuwa invisibles
 
:biggrin1: That was a fluke and it happened 10yrs ago come on get over it...nyie ndio kama vile Liverpool..mpaka leo hii ukienda anfield wanajiita the most successful football club in england kisa wana more european cups...wakati sasa hivi hata champions league wameshaisahau inachezwaje....haya tueni nguvu za soda zitaisha lini...ikishafika november december wakati winter imeshaingia uk utaona jinsi treatment table yenu itakavokua imejaza diaby,wilshere,vermalen,walcott...
 
BARUA KWA MANCHESTER UNITED:

Enyi ndugu zangu wa Old Traford kwanza hongeren kwa point tatu msizo stahili na pia nawapa pole sana kwa kuenyeshwa muda wote wa mchezo na kuonekana kama nyie ndo mmepanda daraja kumbe sivyo.

Dhumun la barua hii ni kukutaka tu kukuuliza ndugu yangu mbona ukuta wako unavuja kama chujio kuna nini kimekutokea jiran yangu mbona umeruhusu magol meng zaid ya mechi ulizocheza? Nilitaka tu kukujuza me nimeanza league tayar with 3 cleansheets ndo nakuja ndugu yangu wewe umeshinda game 2 ila umeniacha point moja kwanini?

Nnakuja ndugu yangu ntapitia pia OldTrafford with SANTI CAZORLA this time naomba uniandalie Carick aje ampokee Sant cazorla na mimi kiujumla mwambie na rafael kua podoski ntakuja nae kwaajili yake. Alafu nilimmisi kweli nemanja vidic c ntamkuta siku iyo me sina meng jiran ni hayo tu
Ni mimi jiran wako wa Enzi

Arsenal The Gunners

Nakala ziwafikie

Questt
Wacha1
Oxlade-Chamberlain
BelindaJacob
Jaguar
Ambitious
salito
MwafrikaHalisi Belo mtotowamjini
na wadau wote wa jukwaa letu tukufu sports

naomba peleka nakala pia kwa ROBIN VAN PERSIE!
 
Nashukuru kwa barua yako,pia nakushukuru kwa kuniuzia VanGoal naamini udugu wetu hautaishia hapa,nimeona unaniandalia vijana wengine,kutokana na ubovu wangu huenda nikawahitaji Diaby,AOC na Vermalein hapo baadae.Kama RVP angekuwa bado hapo kwenu naamini mmengekuwa mnaongoza league,timu yangu ni mbovu sana lakini nikikutana na nyie sina wasiwasi kabisa hata Mr. Bean anajua hilo,last season baada ya kuwapiga goli 8 tuliwasaidia Mr Bean ikabidi afanye usajili wa afadhali kwa hiyo sisi ni ndugu na tunasaidiana.Halafu ukame wa vikombe umekufanya hadi sasa kushangilia clean sheet badala ya point 3,anza kuhesabu hizo clean sheat zako ukishacheza na timu za Manchester sio hao vibonde.Sina wasiwasi na wewe kwani Paul Scholes yupo atapambana na Cazorla,ila mwambie Matasaka ajiandae kumzuia RVP asipige tena hat-trick

Wasalimie wote hapo Emirates
 
BARUA KWA MANCHESTER UNITED:

Enyi ndugu zangu wa Old Traford kwanza hongeren kwa point tatu msizo stahili na pia nawapa pole sana kwa kuenyeshwa muda wote wa mchezo na kuonekana kama nyie ndo mmepanda daraja kumbe sivyo.

Dhumun la barua hii ni kukutaka tu kukuuliza ndugu yangu mbona ukuta wako unavuja kama chujio kuna nini kimekutokea jiran yangu mbona umeruhusu magol meng zaid ya mechi ulizocheza? Nilitaka tu kukujuza me nimeanza league tayar with 3 cleansheets ndo nakuja ndugu yangu wewe umeshinda game 2 ila umeniacha point moja kwanini?

Nnakuja ndugu yangu ntapitia pia OldTrafford with SANTI CAZORLA this time naomba uniandalie Carick aje ampokee Sant cazorla na mimi kiujumla mwambie na rafael kua podoski ntakuja nae kwaajili yake. Alafu nilimmisi kweli nemanja vidic c ntamkuta siku iyo me sina meng jiran ni hayo tu
Ni mimi jiran wako wa Enzi

Arsenal The Gunners

Nakala ziwafikie

Questt
Wacha1
Oxlade-Chamberlain
BelindaJacob
Jaguar
Ambitious
salito
MwafrikaHalisi Belo mtotowamjini
na wadau wote wa jukwaa letu tukufu sports

Asante kwa barua yako.Utapata majibu kamili 3rd November pale O.T.
 
[h=1]United's £38m bid for Neymar[/h]
neymar_1578206a.jpg
BIG-NEYM SIGNING ... Fergie wanted Brazil ace

Exclusive
By NEIL CUSTIS

Last Updated: 05th September 2012

129

[h=3]MANCHESTER UNITED made a £38m deadline day attempt to land Brazil superstar Neymar.[/h]The club record bid failed when the Santos ace, 20, said he wanted to stay put until after his country had hosted the 2014 World Cup.
United boss Alex Ferguson's approach puts Wayne Rooney's position at the club even further into question and the Scot will not be afraid to try again for the goalscoring sensation in the January transfer window.
United turned to Neymar after losing out to Paris St Germain in the chase for another Brazilian, Lucas Moura.
They had offered £32m for the Sao Paulo 19-year-old but the French club landed him for £38m.
Ferguson promptly turned to Neymar, who has hit 113 goals in 190 games for Santos but the bold approach failed.
It would have been the joint-highest fee paid for a player from outside the UK - alongside Manchester City's purchase of Sergio Aguero from Atletico Madrid - and taken the club's spending this summer to £80m.
Real Madrid and Barcelona have also courted Neymar, who scored three goals at the Olympic Games before Brazil lost the final to Mexico.
 
Mpaka Fergie alikua anataka kumnunua neymar na kuna RVP wellbeck na chicha kweli hiyo inaonyesha he wants to replace rooney...rooney mchezo umemzidi aangalie wenzake alioanza nao akina ronaldo messi wako mbali wameshashinda worlds best player yeye anacheza tu na sasa hivi hata kupata namba utd itakua shida....
 
HALI ILIPOFIKIA MANCHESTER CITY WATAKOMA NA SHEIKH WAO HUYO

_62713401_whelan.jpg

6 September 2012 Last updated at 09:14 GMT
265

[h=1]Manchester United at forefront of financial fair play bid - Whelan[/h]
Manchester United have been at the forefront of a push for stricter financial controls in the Premier League, according to Wigan chairman Dave Whelan.
Uefa's new Financial Fair Play rules apply from the start of next season.
[h=2]What is FFP?[/h]
  • Uefa wants clubs to balance their books over a three-year period starting from the 2013-14 season.
  • It is not until 2018 that clubs have to bring their annual deficits to below £8.8m on current exchange rates.
  • Uefa will have the power to ban any side that repeatedly flouts the rules from European competition.

And Whelan says United suggested the measures should also be adopted in the Premier League at a meeting earlier this summer.
"This proposal has come from Manchester United," Whelan said.
"I think [Manchester] City haven shaken them up a little bit, but there should be some controls on spending. Some clubs are spending way more than they can afford and get into trouble - look at Portsmouth.
"The Premier League is so big and powerful and there is so much money around that the clubs try to chase it. Something has to be done so we will support these measures."
Two groups of 10 top-flight clubs, mixed on the basis of size and region, will discuss potential options in detail on Thursday but no decision will be made on any measures.
Any proposal would require approval from 14 of the 20 Premier League chairman to be introduced.
Uefa president Michel Platini told BBC Radio 5 live that Premier League owners are keen to adopt new financial measures.
He said: "The Championship will follow the rules of FFP and I know that some clubs in the Premier League are very happy about that. Many investors in English football will come because of FFP and I think it's a good idea for the future of football.
"Many [Premier League] owners ask me to implement that because they can't do it in their own society."
 
Back
Top Bottom