OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Ni kweli mkuuMkuu Ollachuga Anapaswa kieleweshwa kuna mambo mengi sana kwenye soka (hata yanayohusu Chelsea) huwa anaenda chaka
Hata sisi fans tunapotezwa vibaya. Nadhani hawa jamaa wameamuakujilipua kwa kuamini watoto wa miaka 17 na midfield ya tallents za Tominay na Pereira km compli. kwa Pogba, Matic na FredTaarifa nyingi za magazeti zinazoihusisha man united kwenye usajili ni fake news
Ole anadai anataka watu walioelekeza moyo utd, sasa sijui hili zee analotaka kuchukua for about 50 m, moyo wake upo utd?. Kama cio kuja kuwa kma chamacky kusubir magoli ya vichwa, coz hata kudribble halijui.Naona macho ya OLE yako kwa Mandzukic-33 yrs kama replacement ya Lukaku..!
Hahahahahahahahah........Tayari mmeshatafuta EXCUSE ya kujitetea wakati muda bado.According to Cooper ole alidemand Beki wa kulia, wa kati, creative midfield na winga wa kulia. Kama kawaida Woodward kazingua Tena, maana hata hizo 100 zilizokuwa Tetesi hazijatumika.
Kwenye hio comment nimetetea/nimemtetea Nani?Hahahahahahahahah........Tayari mmeshatafuta EXCUSE ya kujitetea wakati muda bado.
Imebaki £30m kwenye zile 100 zilizotajwaAccording to Cooper ole alidemand Beki wa kulia, wa kati, creative midfield na winga wa kulia. Kama kawaida Woodward kazingua Tena, maana hata hizo 100 zilizokuwa Tetesi hazijatumika.
Anatajwa Mario wa Juve na F.Lloriente yule wa SpurzBolingoli huyo inter milan..
Don't we need a replacement??
According to Cooper ole alidemand Beki wa kulia, wa kati, creative midfield na winga wa kulia. Kama kawaida Woodward kazingua Tena, maana hata hizo 100 zilizokuwa Tetesi hazijatumika.
Zimetumika karibu £150m tayari......ila inawezekana wakawa na bajet kama ya Arsenal £45m ya mwendokasiMkuu samahani nieleweshe hapo nilipobold.
Maguire £85m
AWB £?
DJ £?
Sasa kivipi hazijafikia £100m kutumika?
Kuuliza si ujinga
Anatajwa Mario wa Juve na F.Lloriente yule wa Spurz
Pia kuna kijana pale A.BILBAO anaitwa Inaki Williams ila dau lake liko juu sana ni striker
Ngoja tuone #Deadline
Net spending, ulichonunua toa ulichouzaMkuu samahani nieleweshe hapo nilipobold.
Maguire £85m
AWB £?
DJ £?
Sasa kivipi hazijafikia £100m kutumika?
Kuuliza si ujinga
Bila kusahau zaha akiondoka Leo Kuna 25%Imebaki £30m kwenye zile 100 zilizotajwa
Mwanzo sikuamini, lakini dalili zinaonesha hiyo ndio bajeti iliyotolewa na Glazers
Japo adui muombee njaa ila huyu Ed Woodward ni kirusi hapo United.Majirani mnajambishwa tu na Ed woodward na yamebaki masaa machache.
Bila kusahau zaha akiondoka Leo Kuna 25%
MAN U walivyomuuza Zaha Crystal palace walieka Clause, Palace wakimuuza Zaha man UTD atapata 25% ya mauzo.Tafadhali tupe ufafanuzi juu ya hiyo 25% kwa Zaha?
Inasemekana hiyo 25% Edwood aliitumia Katika harakati za kumchukua Wan Bisaka pale Crystal Palace.. Kwahiyo tunaweza kupata chochote kitu ila sio completely 25% yote!!Bila kusahau zaha akiondoka Leo Kuna 25%