msomi uchwara
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 4,788
- 9,126
Kesho dirisha linafungwa kwa uingereza lakini timu za kutoka nje ya uingereza zinaweza kuchukua wachezaji wa epl kama kawaida...kwaio lukaku anaweza ondoka muda wowote tuIshu ya lukaku inabdi iwe solved kesho completely kama united inataka kufaidika kibiashara na kama wamenuia kweli kumtoa lukaku kweny mipango ya timu!
Nahic kama lukaku mustakabal wake hautapatikana kesho wakat dirisha la usajili kwa engalnd linafungwa compared na wa ligi zingine, kwa namna moja au nyingine basi "Market value" ya lukaku inaweza kuathirika kama united hawana mpango naye really!
Hii ishu wa-sort out mapema lukaku aondoke kama wamenuia! La sivyo, atauzwa £60m-£50m tena kwa kuomba wakat haikua plan zao kwa bei hiyo!
Haohao inter lukaku atanganganiza aende kwao akijua value ime-flop na hataki kubaki pale Theatre!
Huyu Lukaku asepe hata kama hatuna mbadala, si mnyumbulifu, one foot, anakosa magoli sanaaaLukaku will be training with the under age when he finishes whatever he is doing in Belgium and come back to Manchester
Kuna kinda 16 years wa Monaco kasign man u miaka 5, anajoin January baada ya kufikisha miaka 17. Huu usajiri hausemwi kabisa.
Breaking news
Hatimaye lukaku atua inter milan!!!!View attachment 1174927
Oi mmesikia tunamtaka Williams ..striker wa Athletic Bilbao..!? Dogo ni mzuri kwa kiasi chake..ana release clause ya £81Mill
[emoji23][emoji23]unaongea as if tuna wiki imebaki kusajili,kumbe ni masaa machache tuPoor united..
Man u inapaswa kusajili CM kabla dirisha halijafungwa..embu imagine Pogba akiumia nani ataziba pengo lake!? Kipindi kile tulikuwa na Herrera..sshv yupo nani!?? Tutakuwa na hali mbaya kama hatutapata Cm.
HAMJACHELEWA SIRAJI JUMA WA ALLIANCE NI MWAROBAINI WA MATATIZO YENU
Sisi kwa tetesi ni hatari, city ukisikia wanamtaka mchezaji ujue wanamchukua.
Dyana demu wake anaitaka London kwa sababu ni fashionista(mtu ya fashion) hivyo London patamfaa zaidi. Manchester ni mji Fulani uliokaa ovyo ovyo sana kama nyuma ya friji[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].Huyu dogo Dybala ni muoga sana,ameogopa ile hali ya kuwa mchezaji wa MUFC.
Ujio wa Eriksen ni muhimu sana kwetu, timu haina mpigaji mzuri wa mipira iliyokufa.
Ndo maana nimeanza na neno.."poor united" cuz muda imeisha na bado tunahitaji usajili.[emoji23][emoji23]unaongea as if tuna wiki imebaki kusajili,kumbe ni masaa machache tu
HahaaaaaaaaaaasDaaa yaani tunahusishwa hadi na kina Fernando Lorente asee!
Wewe una majungu duh,nyuma ya friji!!!!kule ktk miwayawaya yanDyana demu wake anaitaka London kwa sababu ni fashionista(mtu ya fashion) hivyo London patamfaa zaidi. Manchester ni mji Fulani uliokaa ovyo ovyo sana kama nyuma ya friji[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].
Kwani dirisha linafungwa lini?[emoji23][emoji23]unaongea as if tuna wiki imebaki kusajili,kumbe ni masaa machache tu
Mkuu ni kwel Manchester ni jiji lenye nyaya nying sana jij flan iv kizamani zamaniWewe una majungu duh,nyuma ya friji!!!!kule ktk miwayawaya yan