Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwangu mm eriksen namuweka baada ya KDB tu anafata yeye.
Jamaa ni fundi sana sijui kwa nn hana kismati
hapana Erikes wakawaida mno Sura yake ya upole inafanya ahurumiwe kapitwa Hadi na horjberg wa SUTON
 
Kwangu mm eriksen namuweka baada ya KDB tu anafata yeye.
Jamaa ni fundi sana sijui kwa nn hana kismati
Hata hivyo uchezaji wake hautofautiani sana na ule wa KDB, hawana mambo mengi ila wanapiga kazi hatari.
 
kelele kapiga Mourinho kilitokea nini?
 
Sio kweli..let me correct you..!!

1.dybala ALIKUBALI kuja UTD lakini Alitaka mshahara mkubwa..thats y Kocha wetu akaaamua avunje mazungumzo ya kumchukua.

Dybala ameshaambiwa hana nafasi kwny kikosi cha Sarri..ila kwa 7bu aliona man utd tunamtaka Akaamua kutumia hiyo opportunity kupiga pesa ndefu..(kama Sanchez) lkn hilo limefeli cuz UTD tunataka watu wenye dhamira ya kuchezea utd na sio kuja kupiga pesa kiboya..beside..Dyabala amepunguza dau analotaka(Amepiga U-turn) anataka kuja tena UTD but its too late cuz sisi tumehamisha majeshi sehemu nyingine..meanwhile Spurs wamekubaliana na juve kumnunua kilichobaki ni yeye kukubali kwenda spurs au la.
Hakuna mtu anapenda njaa mkuu Dyabala kanusa akaona man u sio team ni genge la wabakaji tu
 
Ericksen ni EPL proven.

Yani upewe Ericksen na bruno, uchague bruno. Kisa bruno ana miaka 24.?
Yes..hata mimi nitamchagua bruno cuz hes talented na anaumri mdogo so tutamtumia kwa muda mrefu kuliko kutoa pesa nyingi kumchukua mtu ambaye atatumika kwa misimu miwili tu..
 
Yes..hata mimi nitamchagua bruno cuz hes talented na anaumri mdogo so tutamtumia kwa muda mrefu kuliko kutoa pesa nyingi kumchukua mtu ambaye atatumika kwa misimu miwili tu..
Pesa inayotajwa kumtoa Eriksen spurs ni ndogo kuliko ya kumtoa Bruno huko alipo.
 
According to skysport...
Lukaku aliruhusiwa kufanya mazoezi na ile club kwa SIKU MOJA TU..then ilipaswa arudi kikosini kuungana na wenzake..lkn amesema atabaki Belgium mpk hatma yake itakapoamuliwa(amegoma kurudi).

(Maoni yangu)

Lukaku alizingua kuvujisha zile taarifa kule twitter..zimeleta mvurugano kwny team(Refer majibu ya luke shaw kwny ile tweet) na hata ukiangalia captions za zile tweets zake ni kama anawapiga vijembe wenzake(na mashabiki) wanasema yeye yupo slow uwanjani..
..naona alifanya hvyo kwa kuwa na uhakika kwamba anasepa(kwenda juve) lkn deal ikabuma dakika za mwisho..so jamaa ATAWAANGALIAJE TEAMMATES WAKE USONI!! UONGOZI JE ULIOMLAZIMISHA KUDELETE ILE TWEET!?

Conclusion;LUKAKU MUST GO.
Sure

Lukaku needs some respect..

Wanamtreat hovyo sana..

Ila labda kuna kitu amekosea

Huyu ole ngoja tumwone na Rashford wake..maybe anaweza kutuprove wrong,tofauti na hapo watu hawatamuelewa
 
Ericksen tutamtumia muda mfupi na kumtupa wao bruno watamtumia muda mrefu sana mi naita ni longterm plan....sosha kum,a
RVP alikuja akiwa na miaka 29 akatupa kombe na alicheza miaka 3 tu.

Ibrahimovic alicheza kwa msimu mmoja na nusu katupa makombe mawili.

Tevez kama sikosei alikuja kwa mkopo wa miaka 2 akatupa makombe akaondoka katika umri wa kucheza mpira 25+yrs.

Eriksen yupo katika umri sahihi wa kucheza mpira 27yrs huwezi kumwambia Eriksen cha kufanya ktk umri huo.

kama nimekuelewa vizuri basi Man united ilikuwa sahihi kumuacha Hererra sababu umri ushamtupa.

umri wa Eriksen ni pungufu ya mwaka mmoja ya umri wa Maguire na kama nimekuelewa vizuri timu imetupa £80m kwa ajili ya mzee kama huyu.
 
Ole karudisha utamaduni wa zamani, mchezaji aipende timu kwnza na sio ushawishi wa fedha, kina Mou na magenge yake ndio yalituvuruga wametuletea kina Sanchez .......
Mfano mzur ni kwa Magul kaonekana kafurahia sana kuwa mchezaj wa Utd, ilikua ndoto yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…