Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sina uwezo wa bisaka. Na kukurekebisha tu. Hata man city wamewahi kumtaka maguire.
Msimu wa 2017/2018 alikuwa mingoni mwa mabek wanaotakiwa. Licester wakamuongeza mkataba.
Vvd alikuwa wa kawaida akiwa southampton. Ubora umekuja ongezeka akiwa liverpool.
 


Mkuu kweli unaipenda Man United lakini kuwa Mkweli Mchezaji wa Man United aliyekuwa anacheza panga pangua katika World Cu ya 1996 ni Mmoja tu Sir Bobby Charlton.

Kwa ujumla Katika Top 6 hii ya sasa waliokuwa First XI ni:-

1) Bobby Charlton (Man United)
2) Roger Hunt (Liverpool)
3) Jimy Greaves (Spurs)
4) George Eastham (Arsenal)
Chelsea na Man City hazikuwa na mchezaji aliyekuwa akicheza hata sabs.

Na hizo 4 nilizozitaja zilikuwa na mchezaji mmoja tu kila timu ambaye alikuwa akipata namba, Waliobakia wote wanatoka Midtable teams ambazo kwa wakati huo zilikuwa Timu kubwa.
 
Ole hamalizi msimu.
 
Inasikitisha jinsi tunavyo handle issue ya Lukaku.

Kama Ole karidhika kumchezeha Lingard na Rashford bora angemuweka Lukaku sokoni ila si kwa anavyofanya hivi.

Lukaku deserves some respect. Angewekwa tu sokoni tu Juventus waokote dodo.
 
Mkuu, huyu lukaku wiki jana kafanya uvunjifu mkubwa sana wa maadili, Nina uhakika alichokifanya alifanya huku akijua ni makosa.

Ali reakisha ranking ya speed ya wachezaji uwanjani, tena huku akijigamba kwamba yuko vizuri.

Kama maamuzi ya kumuondoa kwenye mazoezi yamefanyika kwa kuihusisha jambo hili inawezekana kabisa hata kwa nini Herrera hakuongezewa mkataba ni kutokana na blunder ambayo aliwahi kufanya kipindi cha mourinho baada ya kuruhusu mdau wa timu moja ya Hispania kama sikosei kwenda kwa mazoezi ya man u wakati ikijiandaa kukabiliana na timu hiyo.

Hivi vilabu ni zaidi ya makocha, kuna policy na ethics ambazo lazima zifuatwe.
 
1. Boby Charlton Kama mchezaji Bora zaidi kipindi hicho (think of Messi au Ronaldo) na performance yake ilivyokuwa kubwa na Hadi title ya sir kupewa inatosha kabisa kuonyesha Mchango wa Man U kwenye Hilo kombe.

2. Link ya Wikipedia nimeweka ya kikosi Cha Uingereza na List ya majina Nimeweka kwamba man UTD ilikuwa na wachezaji watatu ama zaidi.

3. Man utd at that time baada ya kombe la Dunia ikaenda pia kuchukua champions league 67/68 kuonyesha kwamba kipindi hicho Uingereza chini ya Man U ilikuwa ikitawala soka la ulaya.

4.Huyu Ni Nobby stiles, midfielder, kacheza kombe la Dunia lote, hajamis hata dakika Moja, ndio lilikuwa jembe la Uingereza kwenye ku man mark, alimkaba Eusebio (mfungaji Bora magoli 9) akapoteana mechi nzima na pia aliplay role kubwa mechi ya fainali.

 
Sure

Lukaku needs some respect..

Wanamtreat hovyo sana..

Ila labda kuna kitu amekosea

Huyu ole ngoja tumwone na Rashford wake..maybe anaweza kutuprove wrong,tofauti na hapo watu hawatamuelewa
 
Rashford au martial co watu wakufunga goli 20 plus na hata greenwood co wakumtegemea mbele bado 2nakaz...
Mfumo atakaouleta Ole sio wa kutegemea striker wa kusimama afunge magoli, ndio maana unaona Lukaku hayupo kwenye plan zake, tegemea uwiano wa magoli toka watu wengi zaidi, Sanchez, pogba, martial, lingard, Rashford etc.

Na situtation Kama hii kwa Fergie tushafanya sana, Ila maarufu kipindi Cha Karibuni Ni pale RVN alivyoondoka na Watu wakahoji magoli yatatoka wapi? Tukaanza kuona Ronaldo akifunga, Rooney, Saha, Scholes etc.
 
Ericksen tutamtumia muda mfupi na kumtupa wao bruno watamtumia muda mrefu sana mi naita ni longterm plan....sosha kum,a

Naona tunahusishwa na Eriksen, kwamba wao wakimpata Bruno sisi tunachukua Eriksen.
 
Sure

Lukaku needs some respect..

Wanamtreat hovyo sana..

Ila labda kuna kitu amekosea

Huyu ole ngoja tumwone na Rashford wake..maybe anaweza kutuprove wrong,tofauti na hapo watu hawatamuelewa
Jaribu kufuatilia utajua, Lukaku ndio mwenye makosa toka mwanzo.

Timu imechukua Uamuzi mzuri, kwa sababu jamaa kashawakosea teammates wake. Kumrudisha kikosini, kuta disrupt dressing room.
 
Jaribu kufuatilia utajua, Lukaku ndio mwenye makosa toka mwanzo.

Timu imechukua Uamuzi mzuri, kwa sababu jamaa kashawakosea teammates wake. Kumrudisha kikosini, kuta disrupt dressing room.
Kwenye post yangu niwesema pia labda kuna kitu kakosea..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…