Nasikia BJ ame-log off ..... ..... mbona haleti matokeo si Manyu wanaongoza? khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Manda naye kasepa kabaki ati Mtotowamjini anachungulia tu.
BTW nasikia tetesi RVP ataumia leo na kuwa out for four months .... ..
:biggrin1: nimeona nikuwekee kwanza hii table hapa ili nikukumbushe kua sie tuko juu yenu..alafu cha pili watu washamba na ambao hawajazoea kuweka clean sheet utawajua tuu...man utd how many times we keep clean sheet for 10games lakini wala sigambi...maana tushazoea...arsenal mmeshazoeaga kuachia magoli sana tu ndio maana sasa hivi mnajishangaa imekuaje...its only a matter of time before you conceed goals...nitawakumbusheni sana mtakapoanza kuingiza nne tano kwa game...
hahaha hiyo gape ya point moja .. haha na ndo Kwanzaa mwanzo wa msimu isitoshe umeshinda game mbili tumeshinda game moja lakini umetuacha point point moja.. haha.. hii inaonesha how dhaifu manure is ..
Come on!! We went whole season unbeaten ... Hii clean sheet si lolote si chochote compare na the mighty invisibles
manure nendeni whole season unbeaten
then ndio tuje kuongea hiyo history genuine ya 10 games clean sheet ... " oops nimesahau mshapigwa goli 5 so far" try next year maybe mtakuja kuwa invisibles
BARUA KWA MANCHESTER UNITED:
Enyi ndugu zangu wa Old Traford kwanza hongeren kwa point tatu msizo stahili na pia nawapa pole sana kwa kuenyeshwa muda wote wa mchezo na kuonekana kama nyie ndo mmepanda daraja kumbe sivyo.
Dhumun la barua hii ni kukutaka tu kukuuliza ndugu yangu mbona ukuta wako unavuja kama chujio kuna nini kimekutokea jiran yangu mbona umeruhusu magol meng zaid ya mechi ulizocheza? Nilitaka tu kukujuza me nimeanza league tayar with 3 cleansheets ndo nakuja ndugu yangu wewe umeshinda game 2 ila umeniacha point moja kwanini?
Nnakuja ndugu yangu ntapitia pia OldTrafford with SANTI CAZORLA this time naomba uniandalie Carick aje ampokee Sant cazorla na mimi kiujumla mwambie na rafael kua podoski ntakuja nae kwaajili yake. Alafu nilimmisi kweli nemanja vidic c ntamkuta siku iyo me sina meng jiran ni hayo tu
Ni mimi jiran wako wa Enzi
Arsenal The Gunners
Nakala ziwafikie
Questt
Wacha1
Oxlade-Chamberlain
BelindaJacob
Jaguar
Ambitious
salito
MwafrikaHalisi Belo mtotowamjini
na wadau wote wa jukwaa letu tukufu sports

Asante kwa barua yako.Utapata majibu kamili 3rd November pale O.T.
Man U mwaka huu tumefulia..hatufiki kokote.
MANU 3 Wigan 0 Dakika ya 65
MANU 3 Wigan 0 Dakika ya 65
Scholes, Hernandez and Buttner