Utd imekataa biashara kichaa hiyo.PSG have offered Neymar to Manchester United. One year Loan deal, no obligation to buy. Loan fee €25m. United would've to pay 100% of his wages (€560,000). No response from United yet.
No more signing na kama ikitokea atakuwa Sean longstaff
OGS ndio hamtaki Lukaku jamaa alireport pre-season mapema kocha hajamchezesha mechi hata moja akiulizwa anasema ni majeruhi ,
Anderlecht ni timu yake ya Kwanza kucheza professional football
Kelvin ni mzuri lakini hana uwezo wa kuufinyanga mpira km Paul. Ni sawa na wanafunzi ambao hadi wafaulu lazima msuri sana. Paul yupo comfortable sana na mpira, ni issues ndogo za discipline tuu.KDB >Pogba
Bruno vipi jamani,muda unakwenda huo!
Pobga historia alisaidia, alishacheza apo Man united.Kwani Pogba alivyotoka Juventus ilikuwaje?
Wachezaji wa kiingereza wanapewa airtime sana lakini ni wakawaida sana, mbaya zaidi Man united ndo ina idadi kubwa ya wachezaji hao. Hata Magwaya anaeza kuja zingua apo mbeleni ila kwa sababu ni English man akapewa shavu na media. Bissaka kwa mbali anaeza leta matumain kweli back line yenu..Hata Rashford Ali debut hivyo hivyo, sisemi kwamba Rashford Ni Bora kuliko Ronaldo, ila At least akiwa kijana wa miaka 18 mechi ya ligi tunawafunga Arsenal 3-2 Rashford akatupia mbili, mechi ijayo na Man City tukashinda 1 akatupia Tena, na Europa tulishinda 5 akatupia Tena mbili.
Miaka ya hiv karibuni mumekuwa mukifanya usajili wa hovyo sana, hata huu unaweza kuwa usajili wa hovyo. Ila hongereni ngja tuone mchango wake utaleta nini mwisho wa msimu.Harry ndani ya Nyumba
Usajili sahihi kabisa..
Miaka ya hiv karibuni mumekuwa mukifanya usajili wa hovyo sana, hata huu unaweza kuwa usajili wa hovyo. Ila hongereni ngja tuone mchango wake utaleta nini mwisho wa msimu.
Wachezaji wa kiingereza wanapewa airtime sana lakini ni wakawaida sana, mbaya zaidi Man united ndo ina idadi kubwa ya wachezaji hao. Hata Magwaya anaeza kuja zingua apo mbeleni ila kwa sababu ni English man akapewa shavu na media. Bissaka kwa mbali anaeza leta matumain kweli back line yenu..
Ameongezeka Eriksen, inasemekana pia Dybala anaelekea kukubali.
Bruno vipi jamani,muda unakwenda huo!
Kama kweli man utd inasajili kwa malengo,dybala hakuwa kwenye mipango yetu,imetokea bahati tu. Lakini Bruno alistahili kuja,tatizo la ole hapigi kelele asikike pamoja na sapoti kubwa ya mashabiki wanayompa kuhusu kumpata Bruno.Mpaka sasa katika usajili mumeshatumia ≥ £140m au ≤ 140m but not < 120m.
Na sasahivi bado kuna interest 3
1) Dybala
2) Eriksen
3) Bruno
Hao kwa pamoja wancost £200m+.
Sasa Owner hapo wanaweza kuchungulia mara mbili mbili kwenye accounts zao.
Kwahiyo kusajili big signing kwasasa ni kama bahati tu! Lakini inawezekana.
Mpaka sasa katika usajili mumeshatumia ≥ £140m au ≤ 140m but not < 120m.
Na sasahivi bado kuna interest 3
1) Dybala
2) Eriksen
3) Bruno
Hao kwa pamoja wancost £200m+.
Sasa Owner hapo wanaweza kuchungulia mara mbili mbili kwenye accounts zao.
Kwahiyo kusajili big signing kwasasa ni kama bahati tu! Lakini inawezekana.