Extra kwny community??Soka huko linachezwa na Liver. City anahenyeshwa mbaya ingawaje wanaenda extra. Liver bado ni moto aisee, lile likocha lao lipo vema sana
Majeruhi huyo. Aondoke tu.Roho so wa kuuza.
Hapo ndo anahitaji partnership ya kushika dimba lote la kati.Kwa lukaku maybe. Ila pogba.. watakuwa wameunguza vibaya mno. Dispite ya madhaifu yake lakin ni hakuna midfield pale man u inayomzidi pogba. Hakuna.
Wakijidanganya kumtoa huyo basi wamejiroga
Ndio maana nilisema.Kuna key issue hutaki kuizungumza kabisa (Rojo ni injury prone & he makes many individual error).Last season amerudi game against Arsenal na akafanya big mistake
Huwezi kumtegemea mchezaji while most of the time yuko nje,unaweza angalia injury record yake hapa
OGS anacheza 4-3-3 hatumii kabisa mfumo wa 3 centre back (Conte,Allegri ndio mfumo wao)
Marcos Rojo - Injury history
This is the injury history of Marcos Rojo from Club Atlético Boca Juniors. On this page injuries as well as suspensions.www.transfermarkt.com
Msimu wa defence ya United kufanya vizuri ni 2016/2017 au 2017/2018 ?
Unaenda kumuangalia Lingard anacheza badala ya kumuangalia City na LiverpoolSisi pia tumeshinda 4 leo mechi ya kirafiki ambayo haikuhudhuriwa na Mashabiki, dhidi ya Blackburn.
Wachezaji gani waliocheza??Sisi pia tumeshinda 4 leo mechi ya kirafiki ambayo haikuhudhuriwa na Mashabiki, dhidi ya Blackburn.
Hapo bora umwondoe Bailly na Jones ambao nusu ya msimu huutumia kitandani kutibu majeraha.
Umwache smalling ambaye anarecord nzuri ya fitness kuliko hao kuku hata uchezaji wake ni Mzuri kuliko hao wengine
😂Katupia 2 huko. Ni mechi ya Siri mkuu haijaonyeshwa kwenye tv Wala Mashabiki. Wamecheza tu Carrington, nimeangalia Kidogo ngao ya Hisani.Unaenda kumuangalia Lingard anacheza badala ya kumuangalia City na Liverpool
Strong squad Bila De Gea, wanadai De Gea anamalizia mkataba wake. Hadi sanchez na "Majeruhi" Pogba walikuwa ndani, huwenda tukamuona Sanchez mechi ya Chelsea.Wachezaji gani waliocheza??
BBC Sport: Bruno Fernandes is NOT on Solskjaer’s list of players to sign
Hawa nao waongo cku zote walikuwa wapi kukanusha ? Labda man washindwe bei ila mchezaji wanamtaka hata ole mara zote kabla ya maguire alikuwa akisema bado wawiliBBC Sport: Bruno Fernandes is NOT on Solskjaer’s list of players to sign
Huyu Dybala kama hataki kuja ni bora waachane nae, Lukaku auzwe inter, tumchukue Mario na Bruno kazi iishe.
Dyabala anataka pesa kubwa. No offense man u inaweza kumlipa hiyo pesa lakin mshkaji haonekani akiondoka kwa moyo mmoja. Pesa ndio inampeleka kule
Wewe ndio unajua leo toka fergie astaafu naiona united ikifa polepole.....na huyu tajiri ataiacha timu ikiwa na hali mbaya ndani ya uwanja huku yeye tukimtajirisha ambavyo hakutegemeaNarudia edu anania kuiuwa timu