Wandugu Masanja
JF-Expert Member
- Apr 26, 2008
- 1,584
- 553
we unapiga makelele...sisi tumefungwa game moja tumeshinda moja na bado tuna points nyingi zaidi yenu....jumapili mnacheza na liverpool at anfield..kama mmeshindwa kumfunga stoke na sunderland...mtaweza kumfunga liverpool? hii itakua game yenu ya tatu hamjashinda...hiyo ni record breaking 3 consecutive opening games without a win? pool old arsene wenger....mtammiss RVP sana mwaka huu

Hali tete watani.....Poleni sana.... ila game bado!!!
haha! wenyeji mpo...?!
Cheki ulivyoanzisha nuksi...tutashindaaa!!
tupo tumejaa tele...kwavile mmeshinda mmeanza vurugu eeh??!!
Nasikia BJ ame-log off ..... ..... mbona haleti matokeo si Manyu wanaongoza? khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Manda naye kasepa kabaki ati Mtotowamjini anachungulia tu.
BTW nasikia tetesi RVP ataumia leo na kuwa out for four months .... ..
Wacha1, umeona kitu cha RVP kule kwetu? anyway, game bado linaendelea🙂)))