Timu kama inaweza kutengeneza 25 chances per game na isitumie hata Moja huwezi kuita ni timu bora.Kwamba mkuu unaangalia mpira hata hilo linakushinda kutambua? Jamaa amekwambia timu inatengeneza nafas 25 zinafungwa goli ngapi?
Mimi siyapingi haya mahitaji yenu ila yatabaki kuwa yenu siyo ya Woodward.Mkuu unaweza kuwa sahihi tunaweza tukasajili mmoja Baina ya BF na Dybala Ila viungo watano kwenye mfumo wa 4-3-3 hawatoshi, tunahitaji angalau viungo 6 minimum.
Na Kati ya hao 5 mmoja tu Pogba ndio creative waliobaki wote ni midfield za kawaida tu ambao Hata assist 5 kwa msimu ni tabu. Ni aibu kusema Ila Hata Pogba Akicheza chini ya kiwango still ndio best midfield wetu kwenye utengenezaji.
Na usisahau tuna Europa league, tunahitaji kila namba kuwe na watu wawili wawili kuweza kusurvive futuhi.
mkuu hilo nalifahamu lakini tokea ateuliwe OGS kuwa meneja mkuu wa timu tumekuwa na utamaduni wa kutumia viungo watatu wa asili kwa mechi nyingi tulizocheza (herrera + matic + pogba).Dybala ni namba 10. Si winger mana speed si kubwa sana. Ila akitokea katikati ni effective sana. Ndio maana juve kipind chote anacheza 10
Siobi sababu ya maana ya Ole kushindwa kum-accomodate Dybala kama itakuja..mkuu hilo nalifahamu lakini tokea ateuliwe OGS kuwa meneja mkuu wa timu tumekuwa na utamaduni wa kutumia viungo watatu wa asili kwa mechi nyingi tulizocheza (herrera + matic + pogba).
baada ya kutokea sintofahamu juu ya mustakabali wa ander herreara pamoja na majeruhi ya nemanja matic mabwana wawili hao nafasi zao zilikuwa zinazibwa na scott mctominay , andreas perreira pamoja na fred ambao walikuwa wanabadilishana kutokana na mechi husika.
sijafuatilia mechi zetu za kirafiki msimu huu hivyo basi sifahamu chochote juu ya style yetu ya uchezaji lakini nikitumia reference za msimu uliopita sioni dalili yoyote ya kumtumia paul dyabala eneo la namba 10 kama tutafanikiwa kumsajili.
- ili paul dyabala atumike kiungo wa juu italazimika paul pogba acheze namba 8 huku tukirudisha mfumo wa kutumia viungo wawili jambo ambalo sidhani kama litawezekana.
- ili paul dyabala acheze eneo la ushambuliaji italazimika marcus rashford atokee upande wa kulia na hilo jambo haliwezekani kwa sababu anayemuondoa romelu lukaku ni bwana rashford na si first touch zake mbovu.
- wakati huo huo usisahau kuna basha wa mjukuu wa malikia anaitwa jesse lingard naye pia ni kivutio cha utalii kwenye eneo la namba 10, mzee wa mechi 100 assist 5
Daily Mail Wana Article mbili moja anataka 150K na nyengine anataka 350K.[emoji378] Paulo Dybala update [@MaxNerozzi]
• Player wanted to stay at Juve
• Player wants UCL
• No personal terms with United yet
• Not enthusiastic about EPL
• First choice away from Juve always been Barcelona/Real Madrid
[emoji599] Dybala to meet with Sarri tomorrow . https://t.co/48hvRiZPjJ
Taarifa kutoka kwa Di marzioDaily Mail Wana Article mbili moja anataka 150K na nyengine anataka 350K.
Subiri interview ya kesho tutajua zaidi, hizo speculation nyingi ni kuuza Makala za magazeti tu.
Nabisha kisiasaHapa sasa unatudanganya..au unabisha kisiasa..
Ole anachotaka ni kumtoa tu Lukaku..na sisi tulishahoji hivi anavyoondoka Lukaku tutasajili straiker mwingine au tutaendelea na Rashford??..ameonyesha kutokumkubali tokea alipopewa kazi..Sijui united tunaelekea wapi ..
Unamuondoa Lukaku namba 9 unatuletea "Takataka" Dybala ambae kwa ufuatiliaji wangu wa ligi ya Italy ni mchezaji Mwenye uchezaji sawa sawa kama si kuzidiwa na JUAN MATA "GARCIA"
Tena kibaya zaidi ni Mara 100 mata ambae ameweza kubreak even katika EPL kuliko Huyo dybala ambae ni Gamble...
Sijui kama Manchester united wanajua nini kinahitajika katika transfer zao .. Huwezi kuondoa namba 9 halafu hatusikii hata tetesi za kusajili striker namba 9 mwingine , perhaps Mwenye uwezo Mkubwa kuliko lukaku.. Sioni kama kuna hizo dalili .. Ipo siku tutajutia haya maamuzi ya "Kibunuwasi " kumuuza lukaku ... Ukiangalia Strikers namba 9 halisia ni wachache Sana ...
Anyway Ngoja nikae kimya tu
Sijui united tunaelekea wapi ..
Unamuondoa Lukaku namba 9 unatuletea "Takataka" Dybala ambae kwa ufuatiliaji wangu wa ligi ya Italy ni mchezaji Mwenye uchezaji sawa sawa kama si kuzidiwa na JUAN MATA "GARCIA"
Tena kibaya zaidi ni Mara 100 mata ambae ameweza kubreak even katika EPL kuliko Huyo dybala ambae ni Gamble...
Sijui kama Manchester united wanajua nini kinahitajika katika transfer zao .. Huwezi kuondoa namba 9 halafu hatusikii hata tetesi za kusajili striker namba 9 mwingine , perhaps Mwenye uwezo Mkubwa kuliko lukaku.. Sioni kama kuna hizo dalili .. Ipo siku tutajutia haya maamuzi ya "Kibunuwasi " kumuuza lukaku ... Ukiangalia Strikers namba 9 halisia ni wachache Sana ...
Anyway Ngoja nikae kimya tu
Juan Mata Garcia hiyo inside 10 anaweza kuicheza kwa kiwango cha Standard Gauge.. Tunasajili mchezaji Mwenye uwezo takriban sawa na baadhi ya wachezaji tulionao..Kitu ambacho paulo dybala anaweza kuoffer kwa united ni kwamba yeye ni natural side 10 ambacho united tokea ameondoka rooney walikuwa wanakikosa
Kweli kabisaOle anachotaka ni kumtoa tu Lukaku..na sisi tulishahoji hivi anavyoondoka Lukaku tutasajili straiker mwingine au tutaendelea na Rashford??..ameonyesha kutokumkubali tokea alipopewa kazi..
Kwa hali yetu sasa sioni tukisajili straiker wa kuweza kumreplace Lukaku..
Yani unaona Kitu live " Breaking News " unakuja kutuuliza kuwa ni kweli !!..Hivi huu uhamisho wa kubadilishana wa Lukaku na Dyabala utakamilika kweli?naona live hapa as breaking news