nje ya uwanja wa mpira sheikh dyabala sura yake inatosha kuvunja rekodi ya mauzo ya jezi ukimlinganisha na sheikh lukaku.DEAL DONE!!
Sky sport mida hii wanasema deal imekubaliwa pande zote mbili kufanya swap ya dybala for Lukaku..kilichobaki ni man U kukubaliana na dyballa tu kwny malipo na mishahara.
Binafsi nahsi Man U tutaumia tena kwny hii deal. Ukiangalia stats(skysport) za DYBALLA,LINGARD na MATA za last season zinakaribia kufanana kbs(ingawa dybala yupo juu kdg lkn wapo kwny range moja) so naona tunaleta aina ya mchezaji ambaye tunae(naogopa stori za Alexis sanchez zisijirudie!!!)
Nahisi hii deal itacompromise moja kati ya deal zetu mbili(eithere bruno au SMS)...Ningependa LUKAKU auzwe kwa Cash then tununue Bruno Fernandez instead.
Lakini; SIJAJUA kama Dybala anaweza kucheza RW VIZURI..narudia VIZURI..kama anaweza basi atatusaidia kupaweka sawa kule.
GGMU GGMU
Yaani timu siyo mbaya halafu tunahitaji wachezaji ghali namna hiyo?Timu sio mbaya,tunahitaji hao akina Bruno,Maguire na Dybala zaidi.
Breaking news View attachment 1167739
Deal nzuri hii performance ya mchezaji inategemeana na kocha dybala anaweza akaja kufanya vizur yu man uDEAL DONE!!
Sky sport mida hii wanasema deal imekubaliwa pande zote mbili kufanya swap ya dybala for Lukaku..kilichobaki ni man U kukubaliana na dyballa tu kwny malipo na mishahara.
Binafsi nahsi Man U tutaumia tena kwny hii deal. Ukiangalia stats(skysport) za DYBALLA,LINGARD na MATA za last season zinakaribia kufanana kbs(ingawa dybala yupo juu kdg lkn wapo kwny range moja) so naona tunaleta aina ya mchezaji ambaye tunae(naogopa stori za Alexis sanchez zisijirudie!!!)
Nahisi hii deal itacompromise moja kati ya deal zetu mbili(eithere bruno au SMS)...Ningependa LUKAKU auzwe kwa Cash then tununue Bruno Fernandez instead.
Lakini; SIJAJUA kama Dybala anaweza kucheza RW VIZURI..narudia VIZURI..kama anaweza basi atatusaidia kupaweka sawa kule.
GGMU GGMU
Dybala ni namba 10. Si winger mana speed si kubwa sana. Ila akitokea katikati ni effective sana. Ndio maana juve kipind chote anacheza 10nje ya uwanja wa mpira sheikh dyabala sura yake inatosha kuvunja rekodi ya mauzo ya jezi ukimlinganisha na sheikh lukaku.
kama hizi habari ni za ukweli kwenye hili dili atakayeshinda zaidi ni alhajj sheikh ed woodward bin makinikiyya.
ndio maana si ajabu kukuta united wanakataa fedha ya inter milan kwa hoja ya kuwa ni ndogo.
dyabala akiwa right winger ina maana striker wako wa kila siku ni marcus rashford a.k.a mvua za vuli (leo zinanyesha wiki ijayo zinapumzika)
Huyo hata afe. Hana mchango kwa timu. Yaan ni mchezaj wa hospital fc. Hatosaidia chochotePOLEN MAJIRANI
Manchester United defender Eric Bailly will be out for four to five months after he was injured against Tottenham in a pre-season game.
Timu inatia huzuni hii! Dah..Man U hali ni mbaya SANA!
Bora tujitoe tu msimu ujao tusishiriki Epl wala mashindano yyt yale!
Lingard na Rashford are disasters
Namwangalia Rashford hapa bado sana na Rafiki yake Lingard [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
DEAL DONE!!
Sky sport mida hii wanasema deal imekubaliwa pande zote mbili kufanya swap ya dybala for Lukaku..kilichobaki ni man U kukubaliana na dyballa tu kwny malipo na mishahara.
Binafsi nahsi Man U tutaumia tena kwny hii deal. Ukiangalia stats(skysport) za DYBALLA,LINGARD na MATA za last season zinakaribia kufanana kbs(ingawa dybala yupo juu kdg lkn wapo kwny range moja) so naona tunaleta aina ya mchezaji ambaye tunae(naogopa stori za Alexis sanchez zisijirudie!!!)
Nahisi hii deal itacompromise moja kati ya deal zetu mbili(eithere bruno au SMS)...Ningependa LUKAKU auzwe kwa Cash then tununue Bruno Fernandez instead.
Lakini; SIJAJUA kama Dybala anaweza kucheza RW VIZURI..narudia VIZURI..kama anaweza basi atatusaidia kupaweka sawa kule.
GGMU GGMU
Watu wabishi..wanalilia ni kauli za uoga...msimamo ni uleule, Man u ni mbovu, haipo competitive na siyo competitiveYaani timu siyo mbaya halafu tunahitaji wachezaji ghali namna hiyo?
Kuja kwa Dyabala kunaua rasmi habari za Bruno Fernandes so sadWatu wabishi..wanalilia ni kauli za uoga...msimamo ni uleule, Man u ni mbovu, haipo competitive na siyo competitive
Wapo sahihi ,lukaku kwa namba 9 bora ukiwa winger utamfaidi , nguvu anazo,Ila hizi bangi Juve wanavuta sio za dunia hii.
Kwa biashara ,dyabala mtafanya , ila kazi kazi aliwafaa brunoKuja kwa Dyabala kunaua rasmi habari za Bruno Fernandes so sad
Mimi nimeshajiandaa kisaikolojia.man u wale mabeki zake spanner mkononi tayari wameshaanza kwenda garage.Watu wabishi..wanalilia ni kauli za uoga...msimamo ni uleule, Man u ni mbovu, haipo competitive na siyo competitive
Kuja kwa Dyabala kunaua rasmi habari za Bruno Fernandes so sad
Exactly mkuu, dyabala ni 10 Ama False 9, na ili ashine inabidi achukue nafasi ya Marcus Rashford, Kama ni 4-3-3 rashford aende kulia, martial kushoto na Dyabala katikati.Dybala ni namba 10. Si winger mana speed si kubwa sana. Ila akitokea katikati ni effective sana. Ndio maana juve kipind chote anacheza 10