Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sina wasi wasi kabisa na kikosi changu, japo sitegemei makubwa lakini na imani tunaeza leta ushindani mkubwa tu, kwani msimu huu uloisha tulikuwa na forward gani ya maana sana?
Hawa wanaelewa sema wanajikuta vichwa ngumu. Yan wanazidi kutuongezea muda mbele wa sisi kuanguka.
 
You have a point. But do you remember martial alipokuja man u. He was first choice.. namba tisa matata sana.
The guy he stoped playing baada ya kunyang'anywa jezi. Kupelekwa kwenye wing na nafasi yale akapewa rushford. Shida ikaanzia hapo.
Martial alinyang'anywa namba na Zlatan Ibrahimovic mpaka akaamua Ku unfollow social media zote za man united.
 
Glazers wameshachukua mkopo mwingine.
 
Hivi Ole akifukuzwa, kocha gani anafaa kuja kuifundisha United?
 
Mwaka wa tatu huu hajapata hiyo attitude.
 
Lukaku is better striker than Martial statistics never lie ,kwa misimu 4 iliyopita Lukaku amefunga magoli 93 Martial amefunga magoli 48 timu ya taifa Lukaku amefunga magoli 48 Martial kafunga goli 1
Wanakwambia Martial akiwa na attitude anakuwa lethal.

Hahaha
 
Kwan huyo lukaku si ameflop msimu mmoja tu, unakumbuka msimu wa 2017/2018 alivyokuwa akitupia magoli. Ngoja wamuuze lukaku wabaki na rashidi, tutaelewana tu.
 
Hizo habari za kuwa vijana wahawezi kushinda makombe ni upuuzi wa kiwango cha juu. Hii hata sir feg aliwahi kusema huwezi pata makombe kwa kutumia vijana wadogo. Lakini Ajax wamewaprove wrong.

Ajax msimu wa 2018-19 wamenyanyua kombe la ligi wakiwa na Captain wa miaka 19. Na wachezaji wote walikuwa na everage ya 21.5 yrs. Angalia aina ya soka walilokuwa wakicheza. Soka zuri na la kuvutia. Walikuwa na wastani wa goli 3 kwa kila mechi. Matic ajiandae kisaikolojia tu maana United hata wafanye vizuri vipi, wataendelea kufunikwa na City na reds.
 
Ivi hii hali wale manchunian wanaichukuliaje?? Muda mwingine huwa nalikubali sana soka la bongo huyo glazer angekua hapa iyo timu ashaikimbia
Yani mkuu ukiona mtu kavaa skafu, ama jezi ya njano na kijani ujue ni Ant Glazzer, waliandamana Sana mpaka miaka ya 2010 baadae kukatulia kidogo, vugu vugu linakuja na kuondoka, hasa kipindi Mou anakaribia kufukuzwa lilipanda Tena


Mashabiki wa Man UTd mamilionea wenye Hela wali rise Hadi 1B USD kuinunua club ila Wamarekani wakachomoa,
 
Kwanini wanachomoa kuuza club kwani ni yao kumamazao hao si waliikuta watuachie klabu yetu bana maana si kwa mateso haya tunayopatA....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…