Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ukweli ni kwamba timu yetu kwa sasa ina wachezaji wa ajabu sana.

Vijana ni celebrities na hawajali majukumi yao uwanjani.

Wakongwe hawana leadership personalities wala uchu wakuirudisha timu katika ubora wake.

Tuna safari ngumu sana
 
Hakika mkuu timu yetu wachezaji tuliokuwa nao msimu uliopita walichobadilika ni kunenepa tu kutokana na bata la likizo ila kiuchezaji hakuna jipya.

Ilikuwa ni lazima tupate wachezaji ambao watatoa changamoto mpya kwa hawa deadwoods wetu.

Na kibaya zaidi wale injury prone wetu wote hakuna timu iliyoonyesha kuwahitaji hivyo tutakuwa nao kama wachezaji tegemeo tena.

Eneo la kiungo mkabaji alihitajika mmoja, kumpa pressure THE WALKING MATIC, wing ya kulia na namba kumi mnyumbulisha na mwenye uwezo wa kucreate chances nyingi per game.

Kwa sasa squad yetu ukiondoa pogba ni average sana kiasi hatutakuwa threat kwa timu yoyote hata Aston Villa iliyopanda daraja msimu huu.
 
Ukweli ni kwamba timu yetu kwa sasa ina wachezaji wa ajabu sana.

Vijana ni celebrities na hawajali majukumi yao uwanjani.

Wakongwe hawana leadership personalities wala uchu wakuirudisha timu katika ubora wake.

Tuna safari ngumu sana

Tatizo si la Wachezaji Bali ni Mfumo wa Umiliki ndiyo uliowafanya Wachezaji kuwa Celebrities.

Mchezaji kama Pogba na Sanchez unamsaini huku nia yako ikiwa inajuilikana wazi kuwa umemsaini kibiashara na kila Siku unatangaza updates za mauzo ya jezi, unategemea mchezaji atafanya nini?

Hilo ndiyo linalowaponza PSG kusaini Wachezaji na kuwafanya Macelebrities badala ya fighters.

Watazame Real wanasaini Mastaa lakini wanaangalia zaidi kazi zao uwanjani kuliko mauzo ya Jezi na Ndiyomana hawakuona tabu Kumzomea Ronaldo au Bale pale anapozingua.

Wachezaji kutojituma hawana kosa Bali Mfumo wa Timu ubadilike kutoka kuwajengea Wachezaji dhana ya kuwa wamenunuliwa kwa ajili ya kuingizia timu mapato na kuwafanya wamenunuliwa kwa ajili ya kupambana.
 
Msimu unaanza Keane ni 23, ameturn 24 msimu ukiwa umeshaanza, same kwa Any Cole ameturn 24 miezi 2 baada ya ligi kuanza, hivyo msimu unaanza hao wawili wenye 24 walikuwa ni 23. na Garry Neville alikuwa na miaka 20 tu, pia Angalia mechi walizocheza Phil Neville na wenzake (20+)

Hao mapundits waliokuwa wanambeza Fergie kwamba hawezi kuwin na watoto sio wajinga waliona umri wa hicho kikosi.

Na majority ya hao wenye umri mkubwa ni beki na kipa, mbele kuanzia namba 6 mpaka 11 mwenye umri mkubwa alikuwa ni Cantona Pekee,
 
Madrid hii hii iliomfukuza Makelele kisa sio handsome? Na kuforce Beckham na Figo wacheze pamoja na Beck akiwa Kama Midfield wa Kati? Wakakaa miaka n miaka bila makombe?

Hayo makombe waliochukua karibuni sio sababu ya kuforce Bali ni uwezo binafsi wa Ronaldo, subiri msimu huu uone na usajili wao watafanya nini.
 
Chief nakuelewa sana.........
 
Angekuwa kocha ni Pep nusu ya wachezaji wangeshaoneshwa mlango wa kutokea
 

Mbona Ajax amebeba kombe na hao hao Youngsters?

Mbona Ajax ametunyanyasa kweli kweli kwenye Uefa na hao hao Youngsters?

Nauliza tu
 
Angekuwa kocha ni Pep nusu ya wachezaji wangeshaoneshwa mlango wa kutokea
overhaul kwetu sisi haiepukiki lakini sielewi wapi tunapokwama
  • inawezekana tuna wachezaji wenye viwango vya kawaida wasiotakiwa na timu nyenginezo
  • au inawezekana timu nyengine zinahofia kuwasajili wachezaji kutoka kwetu kutokana na kiwango cha mshahara tunachowalipa.
  • au pia inawezekana hatuna ushawishi wa kuwafanya wachezaji wa timu yetu wapendeze sokoni.
jaribu kuangalia klabu ya real madrid
  1. mpaka muda huu wameshaondoa wachezaji takribani wanne kwa mauzo
  2. wameshaondoa wachezaji takribani wawili kwa mkopo huku wakitegemea kuwauza msimu ujao
  3. upo uwezekano mkubwa sana wa kumuuza james rodriguez kwa hela isiyopungua paundi millioni 30
 
Tunalipa misharaha mikubwa kwa average players. Kuwaondoa ni kazi, kibaya zaidi mikataba yao ikiisha wanapewa mipya,

Jaribu kujiuliza kwanini Jones alipewa mkataba wa miaka minne, au Rojo unawezaje kumuongezea mkataba, kama uko serious. List ni ndefu.

Managements timu imewashinda kuendesha au wamerizika na hali tuliyonayo ili mradi wanaingiza chao.

Ila kuna wenzetu bado wanaamini, kuna rebuild inafanyika.

Rebuild?
 
Umeisahau Wolvermpton na Cystal Palace ilivyokuwa inazichallenge timu kubwa?
 
Chief umesema kweli,
 
Nina wasiwasi haujaelewa nn maana ya Class of 1992, hao ni wachezaj walio graduate toka kweny academy ya Man u mwaka huo, na haina maana kuwa walianza kupata mafanikio mwaka huo
 
Hahaaaaa huyu bwana anajua kabisa hawana forward wala hazard msimu huu,lakin kutwa anadanga kila jukwaa, EPL imekaribia naandaa nguvu za kukesha jukwaa lao
Wewe kocha wako keshasema kabisa msitarajie lolote msimu huu mpya. Sio top four, sio kombe ..sasa wewe uko uku tandale kwa tumbo unajipa moyo utafanya vizuri, Ohoo jiandae kisaikolojia bro. Arsenal ikiingia top ten msimu huu basi nu kwa rehema za Mungu tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…