Kama dirisha la usajili litafungwa hatujafanya usajili zaidi ya kina Bissaka tutapigwa sana tuBinafsi nilitamani hii game tupigwe nyingi ili ed na ogs wasijiaminishe kwa kikosi kilichopo.
Kwa mwenye kumbukumbu nzuri msimu wa kwanza wa lvg tulitesa sana pre season hasa hii ICC na tukajisahau. Matokeo yake tuliishia kupiga back pass nyingi kuzuia kufungwa goli za maana. Januari yake martial akaja kuokoa jahazi.
Kama dirisha la usajili litafungwa hatujafanya usajili zaidi ya kina Bissaka tutapigwa sana tu
Binafsi nilitamani hii game tupigwe nyingi ili ed na ogs wasijiaminishe kwa kikosi kilichopo.
Kwa mwenye kumbukumbu nzuri msimu wa kwanza wa lvg tulitesa sana pre season hasa hii ICC na tukajisahau. Matokeo yake tuliishia kupiga back pass nyingi kuzuia kufungwa goli za maana. Januari yake martial akaja kuokoa jahazi.
Labda kwenu ila class of 92 ilibeba makombe 3 mfululizo ama 2 kuanzia pale 92 mpaka 95.
Na Hata Man u ile ya 2007/8 haikuwa na umri mkubwa kivile, watu Kama Rooney, Ronaldo, Tevez, Anderson, Nani, etc walikuwa bado Makinda.
Na Top 4 ndio lengo halisi, zaidi ya Hapo ni bonus tu.
Young katolewa kulia kapelekwa kushoto.
Kwani young natural position yake ni ipi?Young katolewa kulia kapelekwa kushoto.
Ole is worse than Mou.
Hii ni pre season mkuu.Hapana Aisee Inter tuliwazidi kila Idara na sisi tulitengeneza nafasi nyingi zaidi, wao walipaki Basi tu.
Hata awe striker.Kwani young natural position yake ni ipi?
Kusipokuwa na injury msimu ujao hatocheza sana.Hata awe striker.
Ila ni mchezaji wa hovyo sana.
Muda utasemaHizi imani sio
Young kucheza defence ya kulia amecheza msimu uliopita tu.Young katolewa kulia kapelekwa kushoto.
Ole is worse than Mou.
Hapo kwenye kwenye Kizazi cha 92 umekosea hupo sahihi kabisa.
Nahii ndiyo concept ya washabiki wengi wa Man U wakiamini kuwa Manchester iliyotamba imeundwa mwaka 92 wakati sio kweli! Ferguson aliiunda timu hiyo kwa miaka takriban 6 iliyopita (mwaka 1986) ndiyo akafanikiwa kuikamilisha mwaka 1992.
Kwahiyo timu ya kizazi cha 92 haikuwa ni timu ya Youngsters kama unavyotaka kutuaminisha Bali ni ya Wachezaji wakongwe na Wazoefu waliokwisha tengenezwa na kukaa pamoja before 1990.
Sikumbuki Wachezaji wengi Bali nitakutajia baadhi ya Wachezaji tu ambao ndiyo waliokuwa wakicheza kwa wakati huo wa Mafanikio ya kuanzia 92.
1) Peter Schmeichel
2) Steve Bruce
3) Denis Irwin
4) Gary Pallister
5) Paul Ince
6) Roy Kean
7) Mike Phelan
8) Bryan Robson
9) Éric Cantona
10) Mark Hughes
11) Brian McClair
12) Paul Parker
Hapo ukimtoa Roy Kean wengi wao walikuwa umri wao ni kati ya Miaka 27 na 30+.
Hao kina Giggs, Schooles, Neville, Beckham and co wameanza kuibuka miaka ya 96 tena walikuwa wakigaiwa subs tu kupewa uzoefu na Watu wazima.
kwahiyo kusema Ferguson alianza kupata mafanikio kwa Kizazi cha 92 ukihisi walikuwa ni Youngsters basi hupo sahihi kabisa.
Walikuwa ni wazee aliowatengeneza tokea miaka ya 86/87.
Bali cha 92 ndiyo kina Giggs waliotesa kuanzia miaka ya 1998s.
Kwahiyo narudia palepale huwezi kubeba makombe kwa kutegemea Youngsters
Sio anafaa tu.Ebu tumzungumzie #greenwood anaafaa
Young katolewa kulia kapelekwa kushoto.
Ole is worse than Mou.
Mazingira ya sasa na ya 1995 kwenye epl ni tofauti sana.Hapo umeeka tu watu Tofauti Tofauti wengine waliondoka kabla (Robson) wengine walikuwa nao ni watoto (kean) etc. Huyo Parker kacheza mechi 5 tu msimu mzima etc
Mwaka 1995 Kuna muandishi wa habari anaitwa Alan Hansen alisema Man UTd haiwezi kushinda ubingwa na watoto, kikosi kilikuwa na watoto wengi, akasema man UTD wanatakiwa wanunue zaidi wachezaji ili waweze ku compete, jamaa alikuwa maarufu Sana na Hadi Leo anaenziwa Kama Joker, video yake hii hapa
Kikosi Cha Man U 2015 hiki hapa.
View attachment 1162620
Wachezaji 5 unaweza ukawaita senior, Peter, Irwin, Bruce, palister na Cantona, na 6 ni watoto Keane, Cole, Beckham, Butt, Neville, Giggs.
Hio ndio ilikuwa First eleven,
Sub kilikuwa na watu Kama Phil Neville, Scholes na vitoto kibaooo
View attachment 1162627
Hapo sub Kuna wachezaji 4 seniors na Tena wawili hawakuwa involved kabisa.
Hio ndio man U ya 1995 iliyowashinda Newcastle ambayo walikuwa favourite, pundits walikuwa wakiibeza kwa kuwa na watoto.
Mkuu labda useme academy yetu sio nzuri Kama kipindi kile,Mazingira ya sasa na ya 1995 kwenye epl ni tofauti sana.
Labda tuwe hatuoni ongezeko la uwekezaji katika timu zingine