Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
“If your agent is Mino Raiola, Don’t come to Barcelona”
This should be the Board’s message to every single player, Youth or First team player. More thoughts
This guy will destroy every player Carrier!!!!Mark my words!!!
A BIG BIG EXAMPLE IS Pogba!!!He is no near the player he was in Juventus!!!All for the money !!!!!MONEY MONEY MONEY its so funny its the RIOLA WORD,
Lazio wanataka Milion 67Pia inasemekana man u wamekubaliana na milonkovic Savic Wa Lazio na anatarajia kusaini miaka mitano
Sibishani na comment ulizoziweka ila Pre-season sio kipimo halisi cha ubora au ubovu wa timu..Leo nimefuatilia you tube highlits za pre season ya team yetu.nilichokiona ni kwamba.
1 man u ya sasa na ya msimu uliopita ni ile ile.
2 tofauti iliyopo ni kwamba ndani ya kikosi kuna Daniel James na Wana Bissaka.
3 Pogba mtoa maboko ni yule yule tu hivyo tutegemee maboko mengi zaidi msimu.
4 msimu ujao tutapokea vipigo vingi kuwahi kutokea.
5 goli la Phil Jones huenda likasababisha Maguire asisajiliwe.
6 Rashford na Martial walishakamilisha ndoto zao hivyo hawana haja ya kupambana tena.
Wapambanie nini wakati wako kwenye kilele cha mafanikio ?
7 Top six wa msimu uliopita wote watatufunga msimu ujao nje ndani .
Tujiandae kisaikolojia.
kivip fafanua mkuuOzil tangu atue Arsenal hajawahi kufikia form aliyofikia akiwa Real Madrid ,
Kiwango alichokuwa nacho amadrid ni kikubwa kuliko cha pale kwa Wanamgambo wa Londonkivip fafanua mkuu
Timu inaweza isifanye vizuri kwenye pre season lakini ikawa na mwelekeo wa kuimprove hii man u haijabadilika chochote kiuchezaji.Sibishani na comment ulizoziweka ila Pre-season sio kipimo halisi cha ubora au ubovu wa timu..
Vipigo vya wolves tutavipata sanaMsimu ujao Man u ikimaliza top 6 tufanye sherehe.
Leo nimefuatilia you tube highlits za pre season ya team yetu.nilichokiona ni kwamba.
1 man u ya sasa na ya msimu uliopita ni ile ile.
2 tofauti iliyopo ni kwamba ndani ya kikosi kuna Daniel James na Wana Bissaka.
3 Pogba mtoa maboko ni yule yule tu hivyo tutegemee maboko mengi zaidi msimu.
4 msimu ujao tutapokea vipigo vingi kuwahi kutokea.
5 goli la Phil Jones huenda likasababisha Maguire asisajiliwe.
6 Rashford na Martial walishakamilisha ndoto zao hivyo hawana haja ya kupambana tena.
Wapambanie nini wakati wako kwenye kilele cha mafanikio ?
7 Top six wa msimu uliopita wote watatufunga msimu ujao nje ndani .
Tujiandae kisaikolojia.
Mkuu kikosi chetu bado sana kuwa na uhakika wa top 6.Vipigo vya wolves tutavipata sana
japo pre season haipewi uzito kivile na fans wengi wa mpira, lakini Mara nyingi ni sehemu ya kuandaa cha kwanza cha msimu mpya, kwaiyo sisi Manure tunaleta utani tukiamini pre season ni sehemu ya wachezaji kuruka ruka..Sibishani na comment ulizoziweka ila Pre-season sio kipimo halisi cha ubora au ubovu wa timu..
Leo nimefuatilia you tube highlits za pre season ya team yetu.nilichokiona ni kwamba.
1 man u ya sasa na ya msimu uliopita ni ile ile.
2 tofauti iliyopo ni kwamba ndani ya kikosi kuna Daniel James na Wana Bissaka.
3 Pogba mtoa maboko ni yule yule tu hivyo tutegemee maboko mengi zaidi msimu.
4 msimu ujao tutapokea vipigo vingi kuwahi kutokea.
5 goli la Phil Jones huenda likasababisha Maguire asisajiliwe.
6 Rashford na Martial walishakamilisha ndoto zao hivyo hawana haja ya kupambana tena.
Wapambanie nini wakati wako kwenye kilele cha mafanikio ?
7 Top six wa msimu uliopita wote watatufunga msimu ujao nje ndani .
Tujiandae kisaikolojia.
Iyo gemu ya liver imeishaje?? wamepigwa tena??Dah naona usajili umekwama bruno kacheza vizuri sana game ya liver sijui tunakwama wapi
Iyo gemu ya liver imeishaje?? wamepigwa tena??
Dah naona usajili umekwama bruno kacheza vizuri sana game ya liver sijui tunakwama wapi
Kama hali itaendelea hivi mpaka dirisha litakapofungwa tutakuwa na msimu mbaya zaidi kuwahi kutokea.Mkuu kikosi chetu bado sana kuwa na uhakika wa top 6.
Zingatia hatujafanya signing ya maana zaidi ya AWB. Kufanya signing shida, kuondoa deadwoods nayo shida.
Hii timu, basi tuu.