Griezman siyo wa kawaida ila pale Barcelona kumwezesha acheze vizuri italazimika ama dembele akae bench au Lionel Messi akae bench.
Hapana, Haihitaji Messi akae bench (kitu ambacho hakiwezekani).

1.AG anaweza kucheza nyuma ya ST Messi akacheza RW.

2.AG anaweza kucheza LW.

3. AG na Messi wanaweza kucheza wote mbele kama two STs

4. AG anaweza kucheza kama ST( kama Ferminho).

BTW.

Ngoja tuone na sisi leo OLE anakuja na mfumo gani.

Ila ningependa Martial tumtumie zaidi kama ST.
 
IMG_5898.JPG
 
Hahahahahahahahah nimecheka sana huu mstari wa mwisho Ngoja tuone na sisi leo OLE atakuja na mfumo gani hahahahahahahahah wachezaji si walewale na Mfumo ni uleule tu hahahahahahahahah
 
Naanza kupoteza imani na huyu kocha wetu..mtu kama YOUNG na Jones hawakupaswa kuwepo kabisa kikosini hadi muda huu.lkn young ndio captain alaf nje yupo BISSAKA na DALOT wasugua benchi..huu ni ushenzi wa kiwango cha lami..huyu jamaa atafukuzwa siku si nyingi akiendelea na ujinga huu
 
mnaendeleaje mashabiki wenzangu?? mimi msoma comments humu nawakumbusha tu game yetu ya kujiandaa na msimu mpya ni leo saa 8 mchana.

GGMU
Kama kuna mtu mwenye link atuwekee hapa

Azam wamezingua, wamepeana talaka MU Tv
 
Naanza kupoteza imani na huyu kocha wetu..mtu kama YOUNG na Jones hawakupaswa kuwepo kabisa kikosini hadi muda huu.lkn young ndio captain alaf nje yupo BISSAKA na DALOT wasugua benchi..huu ni ushenzi wa kiwango cha lami..huyu jamaa atafukuzwa siku si nyingi akiendelea na ujinga huu
Mkuu relax

Hii ni pre season, kila mchezaji lazima acheze

Usije shangaa kipindi chs pili, kikosi kizima kikifanyiwa sub
 
Back
Top Bottom