The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,010
- 11,444
Jana hiyo hiyo unayosemea.Jana Rais wa barca kakutana na kiongoz wa Atletico , dili linakamilika muda wowote
Mkuu unadhani Antonio Gree anaeza kuja apo OT? yani aje acheze Europa kabisa?Jana hiyo hiyo unayosemea.
Obviously Atletico Madrid's answer was negative, understanding that both Barcelona and the player have disrespected Atletico Madrid and all their fans.
"As a consequence, today Atletico Madid have ordered the player, his sister in her capacity as his agent and his lawyer, that Antoine Griezmann must present himself on Sunday at the club to begin pre-season with the rest of his team-mates, in compliance with his contractual obligations.
"By way of this statement Atletico Madrid wish to express their deepest disgust at the behaviour of both parties, especially Barcelona, for having induced a player to break his contract with Atletico Madrid at a point in the season where the club was fighting not just for the Champions League against Juventus, but also La Liga itself against none other than Barcelona, something that we consider contravenes the established negotiation periods with players and distorts the basic rules that ensure the integrity of all sporting competition, as well as causing enormous damage to our club and our millions of fans."
Worst outcome ni kufungiwa, Kama kweli watabainika waliingia mkataba wakati bado Griezman ni Mchezaji wa Atletico. Unaweza Hata kufungiwa kesi ya kupanga matokeo.Mkuu unadhani Antonio Gree anaeza kuja apo OT? yani aje acheze Europa kabisa?
Huyu jamaa ilibidi wafanye mpango wa kuziba mapema pengo lakePaul Pogba: Man Utd midfielder wants to leave Old Trafford - agent Mino Raiola
Manchester United midfielder Paul Pogba wants to leave the Old Trafford club, his agent Mino Raiola tells The Times.www.bbc.com
Ikiwa Ole ataendelea na huyu kijana, Ole na Woodward wafukuzwe!
Hapa ndo namuona Ole ni dhaifu sana, unalazimishaje mchezaji acheze na wewe ikiwa mwenyewe anataka kuondoka? Mimi nashangaa sana, huyu jamaa ameonesha wazi kutoka kuondoka MUFC lakini bado Ole ana imani nae. Huyu mchezaji mmoja anaidhalilisha timu nzima.Huyu jamaa ilibidi wafanye mpango wa kuziba mapema pengo lake
Angeuzwa fasta tumchukue Ndombele na Bruno Fernandes, sasa Ndombele kashaenda Spurs na sisi tumebaki na kirusi chetu
Hivi unalazimisha vipi kubaki na mtu asiyekutaka
Tukisubiri sana Kirusi ataondoka, na wachezaji wa kuziba pengo lake hawatakuwepo sokoni
Inatakiwa anunuliwe mbadala kabla hajauzwa, maana timu zikiona tu umepata 100m ama 150M Kila sehemu wata inflate wachezaji wao.Huyu jamaa ilibidi wafanye mpango wa kuziba mapema pengo lake
Angeuzwa fasta tumchukue Ndombele na Bruno Fernandes, sasa Ndombele kashaenda Spurs na sisi tumebaki na kirusi chetu
Hivi unalazimisha vipi kubaki na mtu asiyekutaka
Tukisubiri sana Kirusi ataondoka, na wachezaji wa kuziba pengo lake hawatakuwepo sokoni
Hii strategy so tulisha ijaribu? Kuna msimu tulikuwa na RVP, Di Maria, Falcao, Rooney, Mata, De Gea Etc lakini hatukufanya chochote.Hapa ndo namuona Ole ni dhaifu sana, unalazimishaje mchezaji acheze na wewe ikiwa mwenyewe anataka kuondoka? Mimi nashangaa sana, huyu jamaa ameonesha wazi kutoka kuondoka MUFC lakini bado Ole ana imani nae. Huyu mchezaji mmoja anaidhalilisha timu nzima.
Ole mzinguaji sana, sifahamu anataka kufanya nini, ila atambue kuwa, There is no time to build a team from scratch, no one does that anymore, kila kocha sasa ivi anatumia hela kununua wachezaji experience. Anatakiwa ajue kuwa mpira umebadilika saiv.
Pogba angepigwa bei mapema maana mimi naona hata akibaki msimi ujao atacheza kwa kujisikia tu...Hapa ndo namuona Ole ni dhaifu sana, unalazimishaje mchezaji acheze na wewe ikiwa mwenyewe anataka kuondoka? Mimi nashangaa sana, huyu jamaa ameonesha wazi kutoka kuondoka MUFC lakini bado Ole ana imani nae. Huyu mchezaji mmoja anaidhalilisha timu nzima.
Ole mzinguaji sana, sifahamu anataka kufanya nini, ila atambue kuwa, There is no time to build a team from scratch, no one does that anymore, kila kocha sasa ivi anatumia hela kununua wachezaji experience. Anatakiwa ajue kuwa mpira umebadilika saiv.
Kuuza star kisha ukashindwa kureplace ni tatizo lako mwenyewe. Lakini huwezi kuendelea kushikilia mchezaji ambae atakuja kutia sumu timu nzima. Sote tunajua kuwa Pogba akianza ukorofi, timu nzima anaipeleka chini!Hii strategy so tulisha ijaribu? Kuna msimu tulikuwa na RVP, Di Maria, Falcao, Rooney, Mata, De Gea Etc lakini hatukufanya chochote.
Hizi timu ulizotaja zote, ndio timu za kutulelea wachezaji akisha timu kubwa kuja kununua. Huwezi kufananisha Totenham na MUFC, achilia MUFC, huwezi kuifananisha na Arsenal.Na wapo makocha wanaotengeneza Timu si kweli kwamba wote wananunua mfano Spurs, Atletico Madrid, Ajax, Monaco, Napoli, Dortmund, etc
Mkuu wewe endelea kuishia 2013 na ikatae reality ila miaka 6 iliopita tumeingia top 4 mara 2 tu na hatujachukua ligi, ndani ya hiyo miaka timu zote hizo nilizozitaja Zina mafanikio kushinda sisi Kila idara kasoro huyo Spurs pengine, na yeye pia kwenye ligi ana uhakika wa top 4 kuliko sisi.Kuuza star kisha ukashindwa kureplace ni tatizo lako mwenyewe. Lakini huwezi kuendelea kushikilia mchezaji ambae atakuja kutia sumu timu nzima. Sote tunajua kuwa Pogba akianza ukorofi, timu nzima anaipeleka chini!
Hizi timu ulizotaja zote, ndio timu za kutulelea wachezaji akisha timu kubwa kuja kununua. Huwezi kufananisha Totenham na MUFC, achilia MUFC, huwezi kuifananisha na Arsenal.
MUFC iko kwenye group ya EUROPEAN GIANTS,ni timu ambayo inaheshimika Europe na ni timu yenye influence. We are talking about competing and not participating, MUFC was built on competing. Real Madrid na Bayern umeona usajili wao, wale ndio unajua kama jamaa wapo kuchukua makombe na sio kupoteza mda. all those years, spurs amekuwa akibottle tu, how can you compete na timu ambazo zinanunua mizinga uhakika mkuu? MUFC is not competing with Spurs, We are competing with MCFC na LFC, RM, Barca, Bayern Munich, our competition got no time raise a team full of inexperience players
Mkuu wewe endelea kuishia 2013 na ikatae reality ila miaka 6 iliopita tumeingia top 4 mara 2 tu na hatujachukua ligi, ndani ya hiyo miaka timu zote hizo nilizozitaja Zina mafanikio kushinda sisi Kila idara kasoro huyo Spurs pengine, na yeye pia kwenye ligi ana uhakika wa top 4 kuliko sisi.
Miaka yote hiyo tumesajili ma super star hakuna lolote wanalofanya zaidi ya kudai mishahara kikubwa, wanaijua ndio sehemu ya kutajirika Basi.
Issue ya Guardiola mkuu tumeshaizungumzia humu, ni kazi ya kina Tixi Begiristain, mkuu usiangalie tu mafanikio ya nje ya club ukajua ndio sababu ya hayo mafanikio.msimu ulioisha tumemsajili nani....??
halaf tatzo la man u tulikuwa tunasajili mtu mmoja kwa ajiili ya kumaliza matatizo ya timu nzima kitu ambacho hakiwezekan na ndo mana tunashindwana na pogba mana tulipomsajili tulitaka tupate ushindi tu bila kuangalia nafasi nyingine
tazama gurdiola alivobadili kikosi kizima cha city ndan ya msimu mmoja na mafanikio kayapata
Hata hivyo kesha flopMkuu unadhani Antonio Gree anaeza kuja apo OT? yani aje acheze Europa kabisa?
Hahahahahahahahah.........Ni aibu sana kung'ang'ania mchezaji ambaye hana Consistently, He don't play for badge, Mchezaji mvivu ,Altitude mbovu,Endeleeni kujenga ya kumzunguka yeye tu hamna namna.Huyu jamaa ilibidi wafanye mpango wa kuziba mapema pengo lake
Angeuzwa fasta tumchukue Ndombele na Bruno Fernandes, sasa Ndombele kashaenda Spurs na sisi tumebaki na kirusi chetu
Hivi unalazimisha vipi kubaki na mtu asiyekutaka
Tukisubiri sana Kirusi ataondoka, na wachezaji wa kuziba pengo lake hawatakuwepo sokoni
Basi tulia hivohivo,kama wewe uliwahi kuwa nao halafu ukaja ukaona hawafai basi na sisi muda utaongea.Na ndio maana leo hayupo Liverpool,hatuna nafasi kwa wachezaji ambao hawana passion ya kuipigania timu nafasi hiyo hatuna
Hata 150 hakustahiliMie naamini hata rashford hakustahili £250k kwa wiki. Bado sana
Huyo martial mwenyewe Mungu ndio anajua. Hii timu ikiendelea hivi kuna kipindi itapoteana hadi itabaki historiaRashford analipwa 200K, na hio inatokana na Martial kulipwa 250K, ambae Alidai nyongeza sababu ya Sanchez.
Hivyo tunarudi pale pale.
Siyo kukaba tu, naongelea utimizaji Wa majukumu ktk nafasi yake kwa kiwango cha juu. Pogba hana passion ya kuipigania timu!Pogba hapati Hela nyingi Sana na No way performance ya Herrera inamzidi Pogba. Unless unafikiri kukaba ndio factor ya mshahara. Kwa hela anazoingiza Pogba ndani na nje ya uwanja mshahara wake ni wa kawaida Sana.
Mchezaji na Agent wake wote ni virus tu. Ferg alikuwa sahihi 100% kumuachia huyu dogo aende juve for freeHatimaye kirusi katoka mafichoniView attachment 1147558
Man U nadhani wanania ya kumuuza ila hawataki ionekane ni rahisi sana kumpata huyu kirusi ili timu zinazokitaka hiki kirusi ziweke mpunga Wa maanaHuyu jamaa ilibidi wafanye mpango wa kuziba mapema pengo lake
Angeuzwa fasta tumchukue Ndombele na Bruno Fernandes, sasa Ndombele kashaenda Spurs na sisi tumebaki na kirusi chetu
Hivi unalazimisha vipi kubaki na mtu asiyekutaka
Tukisubiri sana Kirusi ataondoka, na wachezaji wa kuziba pengo lake hawatakuwepo sokoni