Herrera na Mata hawakuwa katika mipango ya Mourinho those days kama kumbukumbu zangu zipo sahihi anko Fella alipewa ofa ya mkataba mpya chini ya MO iliishiaje sikumbuki.Herrera hajawahi kutaka mshahara wa £350k na hata huko PSG mshahara wake sio huo it's impossible Herrera awazidi kina Silva,Alves,Cavani,Mbappe,Di Maria azidiwe mshahara na Neymar tu (Neymar analipwa €500k)
The main problem ni how unasubiri mkataba wa mchezaji ufike mwisho ndio uanze negotiation mchezaji akifika hatua hiyo anakuwa na offer nyingi sana sababu anakuwa ni cheap hii mistakes imefanyika kwa Fellaini,Mata,Herrera na inaonekana itaendelea PSG wamempa Herrera mkataba wa miaka 4 + 1 year option United wangempa max ni 2 years
Huyu ana-deserve.Pereira kalamba tayr 4yrs kweny mkataba wake na option ya extending for 1yr ahead...
Mbona walisema anakula 160Actually Herrera anakula 300K Psg na mkataba wa miaka 5
Griezman dili lake la kwenda barca linaeza kufa mchana kweupe..
Griezman dili lake la kwenda barca linaeza kufa mchana kweupe..
300k vyanzo mbalimbali vimeripoti hivyo.Mbona walisema anakula 160
Phelan alimpa majibu yake vizuri kabla ya kuja Man UHatimaye kirusi katoka mafichoniView attachment 1147558
Mchukueni Samatta acheni ujinga..View attachment 1147152
Halafu manchester united wanautaka ubingwa wa epl hahahaha tumeachwa mbali sana
Aise ujamuona Sanchez kafanya vizuri uko Chile ..muongezeeni pesa aise..Ilisemekana mia mbili au nyuma ya pazia ndio ilikuwa hivo? Ila ni sawa tu hata angedai mia nne. Wachezaji wengi wanadai hvo kwa kuangalia work rate ya pogba na hela anazopewa ni tofauti kabisa, Performance ya Alexis na hela anazochukua ni tofauti kabisa. Sasa akijiangalia yeye alivyokuwa anafia timu halafu sijui anchukua 80 huko ni ujinga. Ndio mana hata de gea inasemekana kadai 350 na imebidi wakubaliane nae.
Mkuu Pogba anacheza kwenye timu yeyote ile apo England ..hakuna inayoweza muweka benchi Paulo[emoji3][emoji3][emoji3] izo tabia za kuvaa hereni ni personal issues tu..Liverpool hatuhitaji wachezaji wa aina ya huyo uliyemsema ,mchezaji nusu ya akili yake kichwani inawaza kuvaa hereni, Kubadilisha mitindo ya nywele.
Obviously Atletico Madrid's answer was negative, understanding that both Barcelona and the player have disrespected Atletico Madrid and all their fans.Kwanini life ?
England nzima hakuna level ya Pogba. Wengine ni msuli tu ndo unawafanya wanaonekana, vinginevyo ni vihio. Paul hahitaji kuonesha kufanya mazoezi wala hahitaji kutumia nguvu nyingi kucheza, mpe materials then utaona outcomesMkuu Pogba anacheza kwenye timu yeyote ile apo England ..hakuna inayoweza muweka benchi Paulo[emoji3][emoji3][emoji3] izo tabia za kuvaa hereni ni personal issues tu..
Yule Rodri anajua sana , ndio Bosquet mpya ,Naona leicester wameweka dau mezani kwa samata..
Najiuliza tu ile ela waliyotoa city kwa yule kiungo wa atletico ingekua tumetoa sie ingeonekana ni halali???
Jana Rais wa barca kakutana na kiongoz wa Atletico , dili linakamilika muda wowoteGriezman dili lake la kwenda barca linaeza kufa mchana kweupe..