Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hivi Man U c wavunje benki wamchukue Khalidou Koulibaly? Yule CB ni kitasa cha hatari.
-Anapandisha timu,
-mzuri Wa mipira ya kona na faulo,
-mhamasishaji,
-mnyama yaani ana roho mbaya,
-anatia mguu usipotarajia,
-ana nguvu,
-anajua kujipanga na kuwasiliana vema na kipa wake,
-anaelekea miaka 28 kitu ambacho ndo yupo ktk kipindi bora kabisa kimpira
- anaongea na refa,yaani ana kila kitu cha kuwa kiongozi

Huyu jamaa namuona kama ni centre back solid kuliko yeyote kwa sasa ila tu timu aliyopo ndio inamficha.
 
Huyu jamaa yuko safi sana...
 
Sisi na nyie hatuchekani, Atleast Spurs Ama Arsenal Kidogo wanaweza wakajisifu. maana mna Rundo la maflop kina Ings, Caroll, lambert, Balotteli, benteke, Grujic, karius etc

Katika hao uliowataja Flop ni Carroll tu! You know why?
Huwezi kununua mchezaji kwa £8m then ukamwita Flop wakati tokea unamnunua unajua kuwa hiyo ni bei ya wachezaji below performance.

Carroll ndiye pure Flop ukilinganisha na bei aliyonunuliwa ya wakati huo unaweza kumnunua Pogba.
 
Hao kina Balotelli na Benteke?
 
Wangemuuza tu Pogba.
 
Hao kina Balotelli na Benteke?

Hao wamenunuliwa kwa hela ya kawaida tu, na viwango vyao vya kawaida walivyokujanvyo ndiyo walivyoondoka nyavyo.
Hence, hawakuflop wala kuboreka! Benteke was Benteke, Balo was Ball.
 
Hao wamenunuliwa kwa hela ya kawaida tu, na viwango vyao vya kawaida walivyokujanvyo ndiyo walivyoondoka nyavyo.
Hence, hawakuflop wala kuboreka! Benteke was Benteke, Balo was Ball.
Benteke na Caroll tofauti 2.5m tu, benteke kaja kwa 32.5m. Na ukiweka Addons usajili wake ume wa cost zaidi ya 41m. Ni mchezaji wa 4 ghali zaidi kusajiliwa na Liverpool nyuma ya Keita, Allison na Djik.

Na ameflop, wakati yupo Aston villa alikuwa Akitupia magoli zaidi ya 10 kwa msimu, liverpool hakufikisha na alipoondoka kwenda palace akatupia pia zaidi ya 10.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…