Manchester United (Red Devils) | Special Thread

picha linaanza Napoli imekataa paundi 96 mililioni LEO kwaajili ya Kolidou Koulibaly narudia tena paundi milioni 96 zimekataliwa leo kwaajili ya beki.
 
halafu mbaya zaidi hakuna atakejali kwamba umeangalia au LA
 
Binafsi naona beki ndo cha kwanza kabisa kukirekebisha, winger wanafuata.

Naamini Lukaku ni striker bora kabisa.

Tunahitaji beki ya kulia, weka Young nje.

Beki ya kushoto yupo Shaw.

Namba 4 atacheza Lindelof, tununue namba 5, Smalling na Jones weka nje.

Tunahitaji winger wa kushoto na kulia.

Tunahitaji namba 6, namba 8 atacheza Pogba.
 
What should we learn from those scums? +10yrs without trophy
?
I'm talking bout their playing styles!
Being trophless is another issue!
You may be crayz after every single seconds when Liverpool players touch the ball.
Their determinations, ambitions and hunger for achievements is very impressive.
Massive jobs have been done in their sides!
Why not us????
They are playing modern football, in modern era's!!!
How many times Liverpool styles embrassed united? Think on it
 
wakuu kama tunahitaji kumsaidia OGS ajenge timu ya muda mrefu kwa kukusanya vijana wenye vipaji basi tunapaswa tukamng'oe michael zorc pale borussia dortmund, jamaa anafanya kazi nzuri mnooo..

leo hii dortmund wamekalisha usajili wa wachezaji wawili wenye ufundi kuliko..........…
 
Mkuu hawa dortmund wana'skauti ya hatari sana maana wachezaji wao huwa wanawaokota mafichoni huko lakini wanakuja kuwa moto wa kuotea mbali.
 

ManU hawana patience ya kujenga timu na kumvumilia kocha
OGS hatamaliza the coming season
 
Man U wametoa kit mpya ya 2019/2020. It is as if is an embarrassing Kit though it looks good!!! Hii new Kit ni kama vile ina lengo la celebration ya Treble winning season of abt 20yrs ago yan ile 1999! Wameweka "90+1" , "90+3" upande wa kushoto na kulia wa sleeve.
Man U wamekosa cha kujivunia saiv hadi inabd itumie mashindano yaliyopita kuji-encourage na vitu vya 20yrs ago! Huu ni utan mana hata hatuja-qualify kwa tulichoshinda kipind kile, na wachezaji walioko now hawastahili hata kuvaa kit za namna hiyo, I cant feel how they will feel, so embrrassing
Kwa mawazo ya haraka, united inawaza watauza jezi za kutosha, ok wanaweza fanya kama wakizid kuleta star atakayeuza sana!! Embarrassing kit
 
Team yetu haina tofauti na ndanda mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…