Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kuna kipindi tukianza kuaminishwa kuwa Zidane ni kocha hatari sana ulaya. ...but kwahali hii zidane na solskjaer hawana tofauti katika mbinu, kilichombeba Zidane time aliyokuwa Madrid ilikuwa ni kuwa na top players waliokuwa wanajua wafanye nn uwanjani nothing else.....

Ole akisajili vizuri atasumbua sana tena sana ulaya ilimradi apate right players tu wanaojituma na wafia timu
 
Mkuu kama Ole ana nia kweli ya kuondoa hizo takataka na Ed anazingua ni bora ajiuzulu kiroho safi tu..maana hakuna atakalolifanya..na hii itatusaidia kuprove kuwa tatizo kubwa ni Ed
Au wewe solution unaona ni ipi??
mtu kama Ole anapata nafasi ya kuwa head coach wa United halafu ajiuzulu....hahahahahaha hapana kwa keli
 
Martial anataka kuaminiwa, apangwe tu hata akivurunda. Anahitaji kujengewa confidence
Ameshapangwa sana, yeye azubae tu akina Chong waje wamnyang'anye namba, si unaona United WANA mpango wa kumleta yule dogo Daniel James aje ampe competition (kulia au kushoto)

Nimeona Sterling anaulizwa na Sky Sports siri ya kiwango chake kukua, anasema kila summer kocha anamletea mtu kwenye namba yake na anajua akizubaa atakaa benchi sana

Sasa mchezaji unachezea club kubwa kama United halafu hutaki competition, NENDA CRISTAL PALACE
 
apo kwel mkuuu dg noma san huyu
 
Huwa sikuelewi kila tatizo la United unamuangushia Mourinho,alisajili wachezaji wafuatao na umri wao

Diego Dalot-19,Victor Lindelof-23,Paul Pogba-23,Eric Bailly- 24,Romelu Lukaku- 24,Fred-25,

Henrik Mkhitaryan-27,Nemanja Matic-29,Alexis Sanchez-29,Zlatan Ibrahimovic-35,Lee Grant-35

Kina Smalling,Jones walisajiliwa wakiwa chipukizi kabisa lakini ni miaka 10 now hakuna walichobadilika
 
I doubt hata kama unamfahamu Toby tunayemzungumzia,Toby anacheza Spurs na amecheza EPL kwa misimu 5 now
2015-2016 alikuwa kwenye PFA Team of the year sijui unaizungumzia kasi ipi na hawa wenye kasi Smalling,Jones,Rojo wamefanya nini cha ajabu
 
Toby ni mzee..unazungumzua Stats za 2015-2016 wkt tupo 2019..bro hauko serious.
I doubt hata kama unamfahamu Toby tunayemzungumzia,Toby anacheza Spurs na amecheza EPL kwa misimu 5 now
2015-2016 alikuwa kwenye PFA Team of the year sijui unaizungumzia kasi ipi na hawa wenye kasi Smalling,Jones,Rojo wamefanya nini cha ajabu
 
Pia tabia ya Ed kusubiri mkataba unakaribia kuisha ndio kuanza mazungumzo ya kuongeza mkataba ni makosa ilitokea kwa Fellaini,akaja Valencia,wamekuja Herrera,Mata,De Gea wote wanawasumbua now.Man City Benardo,Laporte walisajiliwa wakacheza msimu mmoja tu wakaongezewa mkataba.Juventus/PSG now wanavizia wachezaji wanaomaliza mikataba yao wanawasijili kiulaini (Ramsey,Emre Can,Khedira,Alves,Buffon)
 
Hata ajitume vipi hawezi kufikia robo ya uwezo wa cr7....


Kwa umri wa martial Cr7 alikuwa ameshafanya MAkubwa hapa duniani
Kuanza au kutokuanza mapema haimfanyi mtu kufikia au kutokufikia potential yake

Quaresma alianza mapema lakini akaishia kuwa mchezaji machachari na si hatari

Zidane alichelewa kung'ara lakini akaishia kuwa mchezaji hatari
 
Na katika wachezaji wote hao, Zlatani (34) ndiye aliyecheza kwa mafanikio kuliko wote
 
Mkuu kama Ole ana nia kweli ya kuondoa hizo takataka na Ed anazingua ni bora ajiuzulu kiroho safi tu..maana hakuna atakalolifanya..na hii itatusaidia kuprove kuwa tatizo kubwa ni Ed

Au wewe solution unaona ni ipi??
Niliwaza solution kama hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…