Style ya OGS ni pressing na counter attack mkuuManchester united wanahitaji kubadili falsafa ya uchezaji [Legacy yao ya Ferguson] na kuingia kwenye pressing style!
Modern football iko hivyo!
Tunapaswa kujipa muda zaidi kuulea mtindo huu mpya Wa kucheza!
Sioni kama tatizo liko kwa wachezaji!
Blueprint ya Ferguson inaitafuna klabu! Tubadili kabisa falsafa ya kucheza, nafikiri Liverpool, Manchester city, Asernal wanaweza kuwa somo kubwa sana kwetu.
Tuache kulaumu wachezaji wetu
Rufaa yako imekataliwaDakika za mwisho mashabiki wa 'The Red Devil' mumekuwa wapole sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] munaitaji kuonewa huruma sana...
Hawawezi waachia hao wachezaji hata iweje.Rufaa yako imekataliwa
Misimu 2 ya usajili hautasajili
Hazard anaondoka
Odoi anaondoka
Cahil anaondoka
Timu isiposhuka daraja nitawapongeza
Wewe unapaswa kuwa mpole kuliko shabiki wa United
Hazard ana miaka 28/29 anajua pengine asipoenda Madrid mwaka huu, hatapata tena fursa ya kuja kucheza Madrid..... Maana akiwa na miaka 30 msimu ujao hatawavutia tena.Hawawezi waachia hao wachezaji hata iweje.
Umeeleweka sana! Nakumbuka maneno yake aliyowaambia wachezaji wetuStyle ya OGS ni pressing na counter attack mkuu
Ndio maana anapenda wachechaji wenye ile mentality ya "kufia timu"
Amemkopi SAF mambo mengi lakini pia anatumia hiyo style ya ku press wakati timu haina mpira
Pressing style huwa ina force timu pinzani kufanya makosa
Nitakupa mifano kadhaa. Magoli 2 ya kwanza tuliyopata dhidi ya PSG kule Paris ni matokeo ya pressing. Dakika 10 au 15 za kwanza kule Nou Camp kwenye robo fainali tulianza kwa pressing ya hatari.
Lakini unawezaje kucheza hiyo style kwa timu ambayo kwenye preason haikuandaliwa kucheza style hiyo. Kumbuka kabla ya kuja OGS, timu yetu ilikuwa ya pili au ya kwanza kwa timu zilizokimbia kilometa cache (timu wavivu) kwenye EPL
Kwa miezi hii michache, ameshindwa kutumia hiyo style ipasavyo sababu kucheza kwa ile style unahitaji proper pre season mkuu, inahitaji a real fit physicality
Anceloti sawa lakini na yeye anapenda kuspend sana kama Mourinho tuMkuu hao wote hakuna kocha , Tafuta world class managers mkuu, niseme tu ukweli, watu wamempigia chapuo pochetno ila kwangu mim hawez....kocha wa kuweza kusuka kikosi ni Anceloti, Eniruque,konte, yule jamaa aliyeipa bayern Uefa 2013. hao kidog wapo vyema..United haiwez kuvumilia kocha wa aina ya klop, ambaye inamchukuaisimu mitatu ya kuregroup kikosi, haiwez...
Hata akiwa kule Molde alikuwa akitumia pressing style hadi ikampa ubingwa na kuingia UEFAStyle ya OGS ni pressing na counter attack mkuu
Ndio maana anapenda wachechaji wenye ile mentality ya "kufia timu"
Amemkopi SAF mambo mengi lakini pia anatumia hiyo style ya ku press wakati timu haina mpira
Pressing style huwa ina force timu pinzani kufanya makosa
Nitakupa mifano kadhaa. Magoli 2 ya kwanza tuliyopata dhidi ya PSG kule Paris ni matokeo ya pressing. Dakika 10 au 15 za kwanza kule Nou Camp kwenye robo fainali tulianza kwa pressing ya hatari.
Lakini unawezaje kucheza hiyo style kwa timu ambayo kwenye preason haikuandaliwa kucheza style hiyo. Kumbuka kabla ya kuja OGS, timu yetu ilikuwa ya pili au ya kwanza kwa timu zilizokimbia kilometa cache (timu wavivu) kwenye EPL
Kwa miezi hii michache, ameshindwa kutumia hiyo style ipasavyo sababu kucheza kwa ile style unahitaji proper pre season mkuu, inahitaji a real fit physicality
Poch was the right manager for UnitedNuno Espirito Santo
Pochettino
Laurent Blanc
Arsene Wenger
Rafa Benitez
Javier Garcia
Walter Mazzarri
Former AS Roma manager
Katika orodha hiyo,binafsi namkubali Enrique.Mkuu hao wote hakuna kocha , Tafuta world class managers mkuu, niseme tu ukweli, watu wamempigia chapuo pochetno ila kwangu mim hawez....kocha wa kuweza kusuka kikosi ni Anceloti, Eniruque,konte, yule jamaa aliyeipa bayern Uefa 2013. hao kidog wapo vyema..United haiwez kuvumilia kocha wa aina ya klop, ambaye inamchukuaisimu mitatu ya kuregroup kikosi, haiwez...
I for one,Poch wasn't. Enrique is the best fit.Poch was the right manager for United
Why Enrique not Poch ?I for one,Poch wasn't. Enrique is the best fit.
For Poch, so far, top 4 is his best achievement ever. Trophyless manager.Why Enrique not Poch ?
Enrique alichemsha Roma,alifanikiwa Barca sababu alikuwa na Xavi,Iniesta ,Messi,Pique,Suarez,Alba,Neymar,AlvesI for one,Poch wasn't. Enrique is the best fit.
FYIFor Poch, so far, top 4 is his best achievement ever. Trophyless manager.
Mkuu Hazard kuondoka sawa lakini Odoi apo uwongo ..halafu ni madirisha mawili ya usajili sio misimu miwili mkuu..Hazard ana miaka 28/29 anajua pengine asipoenda Madrid mwaka huu, hatapata tena fursa ya kuja kucheza Madrid..... Maana akiwa na miaka 30 msimu ujao hatawavutia tena.
Kwenye mkataba wake amebakiza mwaka mmoja akigoma kusaini mkataba mpya kama njia ya kulazimisha kwenda Madrid, msimu ujao anaondoka bure na dirisha hili wakiamua kumuuza wana uhakika wa kuingiza si chini ya £80 milion. Bora aondoke mwakani bure au waingize £80milion+
Cahil ameshatibuana na Sari, juzi kamchana live, kasema Sari haeshimu watu waliofanya makubwa pale Chelsea. Isitoshe mkataba wake unaisha June 30 mwaka huu
Odoi yupo determine kuondoka na ana mwaka mmoja kwenye mkataba wake uliobaki. Katika wote hao, huyu ndio mwenye angalau ka uwezekana ka kubaki
Hazard Kuna uwezekano wa kuondoka japo hakuna mazungumzo ya kueleweka kati ya Chelsea na Madrid mpaka sasa..Hawawezi waachia hao wachezaji hata iweje.
Enrique come to a team with Mesi, Xavier, Iniesta and other incredible talentsWhy Enrique not Poch ?
Mkuu Kuna sehemu nimesema mmefungiwa Misimu miwili?Mkuu Hazard kuondoka sawa lakini Odoi apo uwongo ..halafu ni madirisha mawili ya usajili sio misimu miwili mkuu..
Dirisha la mwezi wa saba na wa pili apo..
Bado tuna imani rufaa yetu itakubaliwa tu..
Hata isipofanikiwa tunaeza fanya maajabu tu ..mbna Spurs ajafanya usajili wowote ule lakini yupo fainali uefa!?
Kikosi tulichonacho kinaweza finish timu mali ..cheki leo kitu namfanya uyo Frankfurt ...anakula tatu kavu!!!