Mfarisayo bana, hahaha....
Nyie Man U yale matokeo ya jana ndio TBS ya timu yenu msimu huu,
mkishinda basi utake usitake % kubwa inakuwa mmechangiwa na maamuzi
ya refaree ambao wengi ni ManUre fans & supporters...
Haya, kazeni buti basi..msijekuwa kama Madrid bure...walikuwa 10pts clear,
sasa wakijikwaa tu Barca haooo...
Mimi msimu huu nawatakia nyie Ubingwa, ManCiteh wakome kuchukua wachezaji
Arsenal.