Pole kunywa maji babaNyie ongeeeni yote lakini Mimi hapa ubongo ni Kama umepiga ganzi siamini kabisa kinachoendelea!Man U wa kuililia nafasi ya nne kiasi hiki?really?tunaipigania kabisa nafasi ya nne Kama tunaipigania ubingwa?kuna jamaa zangu mashabiki wa arsenal nilikuwa nawatania balaa enzi za mzee Fegi jinsi mbio zao zilivyokuwa zinabadilika ikifika february-march na kuhamishia nguvu zote kupigania top four.Yaani walikuwa wanaanza ligi kwa mbwembwe nyingi lakini ikifika kipindi hicho matumaini yao ya ubingwa yanakuwa yamepotea wanabadili gia angani.sikuwahi kuimagine Kuwa Kuna siku Kama hizi zitakuja....tunalia kabisa tumekosa nafasi ya nne!!!!!!this is sh***t!yaani pale walipo Man City na Liverpool zile mbio sisi ndio tunapostahili na sio huku mavumbini!!!!!inauma Sana hasa kwa sisi wengine tunaougua ugonjwa wa soka,naumia Sana lakini ndio hivyo napambana na Hali yangu.bahati mbaya kwangu huwa nashindwa kujizuia kuangalia mechi za man u,yaani tunapigwa Kama siku ile na everton mtu unajiapiza siangalii Tena mechi ya man u lakini ikifika siku anacheza unakomaa dakika ya 15-20 huyo kwenye kideo na tabasamu la kuvizia!Cha Moto nakiona......lakini nitabaki kuwa RED FOREVER.
Itakuwa hujaelewa vizuri alikiimanisha hapo. Mourinho ni jeuri, hapo kapiga jungu + kusimamia mtizamo wake wa siku zote.Haya maneno nimeshindwa kuamini kama ni Mourinho mwenyewe. Kweli kiburi na majivuno vina mwisho. Amerudi kuwa mdogo, mwanafunzi, na anakiri wazi kuwa yeye ni school boy kwa pep na clop! Maajabu haya.
Hii timu nahisi kuna mgomo wa wachezaji yaan si bure aisee!!!
Mtabeba nyie basi,Hamna timu ya kubeba hilo kombe.
Mbona mna conclude mapema,
Hivi hamjui alhamis nakata tiketi ya kucheza final ya Europa ,hivo napitia mlango WA unai,
Acha tu nduguNyie ongeeeni yote lakini Mimi hapa ubongo ni Kama umepiga ganzi siamini kabisa kinachoendelea!Man U wa kuililia nafasi ya nne kiasi hiki?really?tunaipigania kabisa nafasi ya nne Kama tunaipigania ubingwa?kuna jamaa zangu mashabiki wa arsenal nilikuwa nawatania balaa enzi za mzee Fegi jinsi mbio zao zilivyokuwa zinabadilika ikifika february-march na kuhamishia nguvu zote kupigania top four.Yaani walikuwa wanaanza ligi kwa mbwembwe nyingi lakini ikifika kipindi hicho matumaini yao ya ubingwa yanakuwa yamepotea wanabadili gia angani.sikuwahi kuimagine Kuwa Kuna siku Kama hizi zitakuja....tunalia kabisa tumekosa nafasi ya nne!!!!!!this is sh***t!yaani pale walipo Man City na Liverpool zile mbio sisi ndio tunapostahili na sio huku mavumbini!!!!!inauma Sana hasa kwa sisi wengine tunaougua ugonjwa wa soka,naumia Sana lakini ndio hivyo napambana na Hali yangu.bahati mbaya kwangu huwa nashindwa kujizuia kuangalia mechi za man u,yaani tunapigwa Kama siku ile na everton mtu unajiapiza siangalii Tena mechi ya man u lakini ikifika siku anacheza unakomaa dakika ya 15-20 huyo kwenye kideo na tabasamu la kuvizia!Cha Moto nakiona......lakini nitabaki kuwa RED FOREVER.
We acha tu kinachoendelea man u kinatuumiza Sana wengi lakini ndio hivyo tena naona inabidi tuzoee tu maana miaka inakatika hivyo na hakuna matumaini kwamba Hali hii itaisha hivi karibuni.Pole sana brother umeongea kwa uchungu sana,lakini hamna namna haya ndiyo maisha ya soka lolote linaweza tokea,tulikuwa tumeisahau futui sasa tunarudi tena huko huko kuungana na malafiki zetu Asernal.
Mchezaji gani mzuri umnunue ukamchezeshe europa?Hizi mechi za alhamis kwa Man U hii nitaanza kuitazama Man U endapo wataingia nusu fainali na kuendelea. Labda kama watanunua wachezaji wazuri na Wa kutosha hapo watanishawishi
Pamoja na kwamba washabiki wengi pale Manchester unakuta wameshakata seasonal tickets, Kuna kipindi tunapokuwa na timu kama hii wangegoma kuingia uwanjani ili kushinikiza bodi ibadilike na kununua wachezaji wenye hadhi ya kuchezea Man U. Lingewezekana hilo basi Glazer's family na yule mbwa Ed Woodward wangenyooka na wangejua machungu walonayo mashabiki. Shida ndo hivo michezaji inazingua balaa na haibadiliki na bado washabiki wanawasapoti kishenzi.
Europaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Hii team haina tofauti na wauza uchi Tu wa buguruni
Hakuna mgomo mkuu,hawa ni wachezaji wasiojituma,mabishoo/matozi wanaocheza kwa kuangalia pesa na umaarufu.
Na kama Mou angemaliza season lukaku angekua kwenye mbio za kiatuLukaku ana tatizo gani?
Katika michezo iliyopita Lukaku amekuwa bora sana, haya mahaba ya Ole kwa Rashford yatamkwamisha.