The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,011
- 11,429
Romelu Lukaku has no goals in eight, Marcus Rashford has none in six, Alexis Sanchez has one in 15, Jesse Lingard one in 17 and Anthony Martial has managed one in 10. Mad.Hivi Rashford anamechi ngapi ajafunga goli
Inasikitisha sana ngoma inakuwa draw.
Mikeka sasa haha
Kweli hata HUDDERSFIELD TOWN
Mkuu naomba uombe msamaha kama alivyofanya brother DamushinMourinho ni mwalimu mzuri wa mpira hilo kila mtu analitambua..maana mafanikio yake yanaonekana
Mkuu acha jazba, hahaaha mie nlishaacha kwenda kuiangalia hii timu,Yan hakuna la maana tulilofanikiwa tangu Mou aondoke..timu imeoza sana. Mou tangu msimu unaanza alisema mapema kua man utd haitakua timu ya ushindani ligi itakapoanza hasa kutokana na kukosa alichohitaji wakat wa usajili. Mwishowe wakamtimua kisa unanga wa wachezaji baadhi. Watu wakaaanza kuongea hela zinaenda nying na hakuna matokeo, vision ya Mou ni kuirudsha timu kweny ubora wake na ilishindikana na sasa imeshindikana. Ole ni bahati tu ilim-beba mwanzoni hlf wachezaji wakawa na Hari sana pale mwanzoni..kwa structure ya united ya saiv..hakuna kocha atakayefanikiwa hata aje nani.
Madrid wanajipanga kiusajili kwa msimu ujao lakin hatutashangaaa united kubaki na wachezaji wale wale na ma-rumours kibao ambay hayan maana. Timu imekata tamaa tayr na wachezaj wengn washachoka kuchezea united...
Pogba...jones...rashford..lingard..sanchez..lukaku..bailly..mata....young..kipereira..smalling...de gea..matic..valencia(confirmed)....kifred..kidalot..waondoke wote
Lindelof...ander (pia atafutiwe m-badala wake)..shaw..tominay wabaki
Inaonekana pale kuna kikund cha united kinampigia chapuo sana...yan saiv hatusikiii majungu kama mwanzo alivyokuwepo Mou...kama kuna kirushwa fuln hiv Ole anatoa kwa pundits....hiki kirushwa au kiposho anachotoa hakina matunda sasa.Huwezi kujenga timu na kocha mbahatishaji..unahitaji mwalimu wa soka kwelikweli
Unfortunately,naona pia Ole anauwezo mdogo sana hata nje ya uwanja tu
brandMan City overtake Man Utd as the most valuable Premier League club
Manchester City overtake Manchester United as the most valuable Premier League club, according to new data from the University of Liverpool.www.bbc.com
Huyo hapo.
Brand name pekee imeingizia man U 900m usd mwaka jana, kui exclude haimake sense. Pia commercial deals ambazo ndio strength ya man u hamna hapo man U ina deals kubwa na kampuni kama , Adidas, Chevrolet, Aon Etc hii ni breakdown ya Forbes
OLEGEND!Ile oleeee ole ole oleeee oleeee. Mbona siisikii kwa sasa
Mou alikuwa sahihi kumuanzisha lukaku badala ya rashfordMkuu acha jazba, hahaaha mie nlishaacha kwenda kuiangalia hii timu,
Acha kufunga hana akili ya mpira japo umri upo upande wake lakini usitegemee atakuja badilika ! Sehemu yakutoa pasi anapiga na sehemu yakupiga anatoa pasi hana akili ya mpira kuna wangese km gary neville ndo wanampigia debe yani huyu dogo ole asimpe hata mkataba ila kwa tulivyo atabaki na atalewa nafasi ya kuendelea kuwa striker tegemezi wan manchester unitedBado angepewa timu mwisho Wa msimu kwa sababu kilichofanyika hapa ni unafiki Wa wachezaji,so angekuwa hajapewa mkataba naamini hivi vichezaji vingeendelea kujikaza kama vilivyofanya awali