Uwezo tunao, Huddersfield wameshashuka daraja, watacheza kukamilisha ratiba. Cardiff city watakuwa wameshashuka daraja pia kwa ushindi wa Brighton Jumapili ya wiki hii, nao watacheza kukamilisha ratiba.
Huyo OLE mliokuwa mnamsifia yuko wapi alishinda vimechi vya mwanzo sio kwa uwezo ile ilikuwa i furaha ya wachezaji kufukuzwa kwa Jose........OLE hana CV ya kuiongoza Manchester United Cheap option inamadhara