Wacha,kaa ukijua We are The Red Devils si kwamba tuna tabia za kishetani!"ushetani" wetu ni pale uwanjani tunapowafunga wapinzani kikatili hasa dk za mwisho,tunapowanyang'anya watu ubingwa walioona kama wameshauchukua!ni ukatili wetu wa kiwanjani ndio uliotupa jina mashetani wekundu!kama mashabiki hatutumii nyama zako unazotuletealetea!