interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,409
Ninaunga mkono kipigo cha 2-0 kutoka kwa Mtani wangu man city ...
Chifu umemtupa wapi swahiba wako Radika, au naye yuko kozi ya kujipiga ban kama Ollarchuga wa Chelsea 7bu ya mwenendo mbovu wa Man U ss hv
Naona jana mlikuwa mnacheka usoni kumwona mpinzani wenu mkuu Liverpool akipoteza ubingwa kupitia ninyi huku rohoni mmejawa na maumivu tele ya kukosa top 4
Tupo mkuu
Nakuona nakuona umetukimbia
Hii umeandika ni lugha gani mkuu?Wanaishi simple tu walivuomtoa wanaishi mashabiki wa Liverpool ya Brenden rogers
Acha kumlaumu De gea kaibeba sana timu beki mbovu saba ile mbovu mnoo.... ila tatizo kocha naye anataka kuendeleza uingereza wakati wale waingereza (phil & chris) wabovu kama ni kuwachezesha waingereza atafute beki za kingereza za maana ila akiendelea nao msimu ujao nakwambia nafasi ya 4 tutaitafuta kwa torch....OGS must be very aggressive and arrogant to players to success at United otherwise he will be sacked early next season
Its time to play Romero and bench De Gea
Give more playing time to the youth for remaining match
Stop mention SAF on his interview(build his legacy)
Kawaongeza mkataba yeye atawafanya nini ? Hivi dalot anamapungufu gani mpaka young lazma ndo acheze 2 ? Na pale kati lazma smalling au jones ! Ilibd hao watatu wasipewa mkataba ! Kati hata km atakuja beki mpya wangebaki bailly na lindelof halaf beki angekuja wa kusaidiana na dalot...! Ila kocha cjui tuseme mbaguzi hata kule piga uwa lazma rashford na lingard wacheze ! Yule sanchez kacheza vzuri mechi ya barca ila cku ya everton nkajua ataanza na hata jana ila wapi ! Anakuja kufanya sub muda ushaisha umekula 2 hata timu ingekuwa nzuri kurudi hzo goli shughuli ! Ole co kocha ana mapungufuAliyewaongeza mikataba kina Smalling ni OGS
Bailly majeruhi kama kati yupo smalling na lindelof kushoto shaw kulia angecheza dalot ! Kwa maana hii hakutasaliwa beki 2 mpya young ataendela kuchezaKwenye backline hapo ulitaka ampange nani,
Valencia-jones-Rojo-dalot
Akipewa hela na asisajili mabeki ? Mana wale wakatili watatu washepewa mkatabaNaamini Ole anaweza kufanya vema ila apewe hela ya kutosha cyo pauni mil 200/250 asajili akishindwa tumhukumu. Mou ule mpira wake hapana asee
Duuu mabeki wote wale ukiondoa shaw kidogo na lindelof ingewezekana wafukuzwe kabisa hata kabla ya msimu kuishaAkipewa hela na asisajili mabeki ? Mana wale wakatili watatu washepewa mkataba
Acha kumlaumu De gea kaibeba sana timu beki mbovu saba ile mbovu mnoo.... ila tatizo kocha naye anataka kuendeleza uingereza wakati wale waingereza (phil & chris) wabovu kama ni kuwachezesha waingereza atafute beki za kingereza za maana ila akiendelea nao msimu ujao nakwambia nafasi ya 4 tutaitafuta kwa torch....
Jones,young, smalling mikataba mipya kweli!!! Halafu Ander Herrera kama vipi akatafute timu nyingine asee!!Hii tabia ya kuendwkeza utaifa kwenye vilab ndio ilifanya liverpool kupotea kwa muda mrefu.. mpaka walipo punguza idad ya waingereza kwenye team.
Yeye anarudi kosa lilelile lilolompoteza liver kipind cha nyuma. Atafakar sana
Ishu washapewa mkataba watafukuzwaje ? Labda wakopeshwe na mshahara wao man ndo wawe wanalipa pia ipatikane timu itakayowakubali mana wameoza co kidogoDuuu mabeki wote wale ukiondoa shaw kidogo na lindelof ingewezekana wafukuzwe kabisa hata kabla ya msimu kuisha
haaahaaa mambo yamebadilikadaaah this is a football yaani naona nyakati hizi man united fan base nao wanachambua soka kama arsenal kweli wakati ni yuda
Ishu washapewa mkataba watafukuzwaje ? Labda wakopeshwe na mshahara wao man ndo wawe wanalipa pia ipatikane timu itakayowakubali mana wameoza co kidogo
daaah this is a football yaani naona nyakati hizi man united fan base nao wanachambua soka kama arsenal kweli wakati ni yuda
Mmefungwa umegoma kuja pm