greybakuza
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 897
- 1,277
Mnajifariji!!!.
Sasa naweza kulala.
Mashabiki wote wa Liverpool, nipm namba yako nitume kifuta machozi.
Glory Glory Manchester United.
Mkuu pumzika sasa hahahahahahaha.... Mm nliwaambia sisi Manchester United hatuna timu ya kumfunga city poleni Liverpool nnaenda mwaka wa 30 bila kombe hahajahaHahahahahahahahahhahahahahahahahah GO GO GO MANCHESTER UNITED GLORY GLORY MAN UNITED Hahahahahahahahah
Let's go United ........Second half....... Ikibaki hivi hivi kesho Asubuhi pweeeeeee Kununua kitambaa cha SUTI.
Na wewe usisahau kutuma namba yakoMartial na Lukaku wapo yaani wewe utaaibika tu subiri uone
Kwani sisi hata tumebisha mkuu?Mnajifariji!!!
Ukweli ni kuwa uwezo wa Man United kama team ni mdogo sana, kiwango kibovu, wachezaji hawajitumi (labda ndo uwezo mdogo wenyewe) na team inacheza bila mipango.
Poor Olesendeka, Poor Manyau.
Mkuu hatuna unafiki wa kuisaidia Liverpool mwaka wa 30 huuLet's do it people. Only 45 minutes to go.
GGMU/YNWA
Mngeisaidiaje sasa?wakati nyie wenyewe kujisaidia hamuwezi?Mkuu hatuna unafiki wa kuisaidia Liverpool mwaka wa 30 huu
Tatizo la Chelsea sio uwepo wa abramovich uwanjani, kwani si alikiwepo kabla ya ban na timu ilisuasua sana?Ina impact kubwa sana. Jamaa alikuwa anaipenda sana Chelsea na alikuwa hajiulizi kwenye kununua wachezaji au kufukuza kocha.
Baada ya kupigwa ban hata game haji kuangalia, uwanja kasitisha plan za ujenzi.
Na utaona Sarri msimu ujao yupo, kitu ambacho siyo kawaida.
Kamzuiaje?pambaneni na hali zenu.kwani ligi imeisha leoI hate Ole but for this nampa 100%
Mourinho alimzuia liverpuli kuchukua ubingwa akiwa Chelsea, the same Ole anachokifanya hapa.
Wanaishi simple tu walivuomtoa wanaishi mashabiki wa Liverpool ya Brenden rogersDuh nimeshabikia man u kwa dakika 90 nimeteseka sana sasa sijui washabik wa kudumu wa man u wanaishije
Lingard ni mjinga kupindukiaaa