Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nachojua mpaka sasa mechi ya jumatano tushaimaliza na kipigo kidogo tutakachopokea ni cha sita bila majibu.....kamwe siwezi ruhusu liva anisogeee ile rekodi yangu ya kutwaa ubingwa mara 20
 
Ujinga ni nini?

Ujinga ni pale Man u wanapoamua kumuachia City 3 points kwa makusudi ilimradi tu Liverpool isichukue ubingwa, mwisho wa siku Man City anakuja kudraw na leicester, Liverpool anatwaa ubingwa huku Man U akirudi Europa
.
Usicheze mpira Kwa vidole kila mtu ashinde mechi zake tu
 
Sidhani kama yanayosemwa dhidi ya Pogba ni sahihi!
Manchester (City & United) hakuna mchezaji anayefikia hata nusu ya kipaji cha Pogba!
Ni pure World Class.
Ladba kama umefikiri Kwa kutumia utumbo mpana
 
Wamesaini na Puma, na wameachana na Nike...... Angalia hiyo attachment

Ni kweli City wana struggle hata kujaza uwanja wao ambao una uwezo wa kubeba mashabiki elfu thelathini na kitu (mashabiki wa United wanawatania kwa kuwaita Emptyhad badala ya Ethad) , lakini ni ukweli usiopingika miaka 5 au 10 iliyopita tulikuwa tukienda vibanda umiza au hata mtaani huwezi kukuta mtu amevaa jezi ya City lakini kwa sasa wapo, hivyo kwa sasa wanapata mashabiki na hiyo inasababishwa na performance uwanjani

Kwanza hivi unaweza vipi kutenganisha performance ya timu uwanjani na kuvutia mashabiki mashabiki? Real Madrid wana mashabiki wengi sababu ya mafanikio yao, Barca hivyo hivyo, Man Utd hivyo

Ipswich town, hull city, Levante, torrino, hawana fan base kubwa sababu hawana mafanikio uwanjani
 
Mkuu hichi kitu imeshajaribu kuelewesha Sana watu humu ndani..... "Mapato ya timu yanategemea matoke ya mpira uwanjani" ili upate Mashabiki wengi zaidi, ili uweze kuingia dili nzuri za mikataba....... Dili la Adidas sidhani pale Utd Kama watakubali ku renew kwa terms hizi hizi Kama timu itaendelea kuwa na sintofahamu ya matokeo namna hii, Over
 
Nachojua mpaka sasa mechi ya jumatano tushaimaliza na kipigo kidogo tutakachopokea ni cha sita bila majibu.....kamwe siwezi ruhusu liva anisogeee ile rekodi yangu ya kutwaa ubingwa mara 20

Hata City, Totenham, Chelsea na Arsenal wanaweza kuikaribia rekodi yako haraka sana
 
Kwa hilo I beg to differ!
Pogba akipata the right players around him anang’ara
Nilimwona World Cup alivyokimbiza
Kwa mantiki hii kwani huwa hamsemi Lukaku akipata the right player around him atafanya vizuri

Pogba ni tatizo kubwa pale United, kwa kiwango yupo 60%/70% ability wise lakini tatizo lake kubwa ni mercenary, he don't play for badge
 
OGS - Relegate Cardiff then akakimbilia kwao.

Mike Phelan - Relegate Hull city, then akawa sporting director huko Australia bado akashuka nayo tena daraja.

Alafu baadae wamekuja ku manage the biggest club in the world. Njoo mniambie kama kweli uchawi haupo duniani.
 
Mkuu huu ndio ukweli wenyewe
 
Kwa mantiki hii kwani huwa hamsemi Lukaku akipata the right player around him atafanya vizuri

Pogba ni tatizo kubwa pale United, kwa kiwango yupo 60%/70% ability wise lakini tatizo lake kubwa ni mercenary, he don't play for badge

Lukaku is a fat ass footballer. He probably could be a better running back in NFL
 
Lukaku is a fat ass footballer. He probably could be a better running back in NFL
Lukak ameshakuwa heavy. Akiwa mwembamba anakuwa mzuri sana. Angalia akiwa everton.
Uzito umemuaharibu.
Pogba needs to go.. he has no loyalty.na hii tabia fergie aliiona mapema
 
Kwa ogs maybe.. lakin mike phelan hapana. Why? Mike likuwa assistant wa ferguson kabla hajastaaf. So anaijua team vizur.
Ogs anahitaj muda.. na wachezaj wapya.
 
Ujinga ni nini?

Ujinga ni pale Man u wanapoamua kumuachia City 3 points kwa makusudi ilimradi tu Liverpool isichukue ubingwa, mwisho wa siku Man City anakuja kudraw na leicester, Liverpool anatwaa ubingwa huku Man U akirudi Europa
.
Hahahah, kweli aisee
 
Ningekua manager, basi hiki ndio kingekua kikosi changu siku ya jumatano

Grant
Injured valencia- Rojo - Darmian - Young
McTominay
Lingard - Pereira
Gomes - Lukaku - Chong
 
Ningekua manager, basi hiki ndio kingekua kikosi changu siku ya jumatano

Grant
Injured valencia- Rojo - Darmian - Young
McTominay
Lingard - Pereira
Gomes - Lukaku - Chong
Wote vilaza tu hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…