Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,481
- 27,185
Liverpool yenye kiwango bora kabisa imefikia hatua ya kutegemea timu zingine zishinde dhid ya Man City ili wao wabebe ubingwa. Huu ni udhaifu wa khali ya juu kuwahi kutokea kwenye EPL ..inadhihirisha ni jinsi gani huwez kupambana mwenyewe kama Chelsea, au Man city hadi mbeleko likubebe..
Kwa khali hii kama Klopp atakuwa na mawazo kama ya ninyi fans wake, basi atakuwa kafeli pabaya sana na kila msimu ataishia kuwa mshindani bora wa ligi..
Pogba hajui chochote kwakweli Bora mzamiru yasiniNingekuwa kocha wa Manutd ningemuongezea mkataba afu ningemueka benchi misimu yote ilimradi tu kumuonesha km hana umuhimu
Huyu Tom nae alikuwa anakipiga fresh. Mimi sifahamu mpaka leo what is special about pogba? Hana mbio, anakaa na mpira sana na kupoteza, dribbling zenyewe ovyo. Japo anakuwa na pasi nzuri lakini haijawa justification ya price tag yake. Na yete ni overated
Bora ata kipande cha mbao kichukue nafasi ya pogba tuPogba hajui chochote kwakweli Bora mzamiru yasini
Gunia la sukari lile Pogba! Anacheza mpira kupata sifa.Pogba ni mchezaji wa kawaida sana mkuu.
Kuna watu watauliza mbona kwenye timu ya taifa anapata namba,huko kwenyewe kazi kubwa huwa inapigwa na Kante.
Pogba ni mchezaji wa kawaida sana mkuu.
Kuna watu watauliza mbona kwenye timu ya taifa anapata namba,huko kwenyewe kazi kubwa huwa inapigwa na Kante.
Miaka 7 hatujabeba EPL na UCL ila kimapato tunawakimbiza waliobeba.
Hoja dhaifu na ya kipumbavu sana.
Michael olivier nafikiri ni spurs, jamaa anaioneaga sana araenal.
Which City deal is biggest?
Man city haina ata fans wa kufill there own home seats mpaka wanunue watu kwa kuwalipia ticket. Juzi tu apo walicheza mechi uwanja ulikuwa mtupu mpaka dunia inashangaa. Manutd pamoja na uchwara wake mashabiki uwanjani nyomi na ndicho wanachotaka advertisers. They dont care if you are winning titles, they want exposure and man city cant offer that.
mara nyingi ukishashindwa kupinga hoja kwa hoja hii ndo inakuwaga turning point yako.Kwani kuna Timu gani duniani iliyowahi kubeba ubingwa bila ya kutaka wengine Wafungwe?
Inawezekana 2010 ulikuwa Shule ya Msingi but waulize Wakubwa Zako ilikuwaje katika ya Man U na Chelsea kwenye kuwania ubingwa?
Kila timu ishinde mechi zake Na Manchester United ikiwemo nayo ishinde mechi zake.mara nyingi ukishashindwa kupinga hoja kwa hoja hii ndo inakuwaga turning point yako.
kila timu ishinde mechi zake
mara nyingi ukishashindwa kupinga hoja kwa hoja hii ndo inakuwaga turning point yako.
kila timu ishinde mechi zake
Pogba ni wa kawaida sababu yupo timu ya kawaidaPogba ni mchezaji wa kawaida sana mkuu.
Kuna watu watauliza mbona kwenye timu ya taifa anapata namba,huko kwenyewe kazi kubwa huwa inapigwa na Kante.
mara nyingi ukishashindwa kupinga hoja kwa hoja hii ndo inakuwaga turning point yako.
kila timu ishinde mechi zake
HahahahahahahahahKwani kuna hoja iliyotolewa hapo awali? Au umekurupuka tu?
Kumbe na wewe hujui tofauti ya Hoja na Maoni! Ni walewale tu kina Ndugai.
But the guy has a point
Kuna many occasions ManU walishinda/walipoteza ubingwa kwa kutegemea matokeo ya mechi za timu nyingine tena siku ya mwisho wa ligi
Mfano ni 2012 kama Aguero asingepata like bao basi United angetawazwa bingwa
lakini United alishinda yake kwanza, pili, Liverpool mjilaumu wenyewe katika hili sio kutegemea fulani afungwe ili nyie mpate afueni, sababu mliongoza kwa points nyingi sana.But the guy has a point
Kuna many occasions ManU walishinda/walipoteza ubingwa kwa kutegemea matokeo ya mechi za timu nyingine tena siku ya mwisho wa ligi
Mfano ni 2012 kama Aguero asingepata like bao basi United angetawazwa bingwa