Wapi aliposema WC players lazima awe ameshinda kombe na timu yake ya taifa ?Kwa sifa na vigezo hivyo ulivyovitaja basi EPL nzima huyo mchezaji atakuwa ni Ngolo Kante peke yake
Again, kwa vigezo hivyo hata Messi haqualify manake akiwa na National team hajashinda World Cup
Ha ha ha naamini akichezea ktk timu iliyosheheni wachezaji wazuri na wenye determination anaweza kuwa tegemeo la timu na kuleta mafanikio mazuri sana na kushindana ktk level za juu. Kuwa top score wa muda wote na kuwa sehemu ya tegemeo kwa timu nzuri kama ubelgiji si kazi rahisi“Mchezaji mwenye kipaji kukubwa, mshindi, na mwenye hamu ya ushindi daima na mwenye uwezo wa kushindana katika viwango vya juu ktk mashindano mbalimbali ya ndani na kimataifa pasipokujali anacheza na nani na akawa analeta matokeo au kupelekea matokeo yanayohitajika kwa timu yake. HUYO NDIYE WORLD CLASS PLAYER”
Hayo ni maneno yako mwenyewe nimeququote.
Tuanze na Lukaku, anakidhi hivyo vigezo???
Wapi aliposema WC players lazima awe ameshinda kombe na timu yake ya taifa ?
Hoja dhaifu na ya kipumbavu sana.Yah! Ferguson aliwaweka kwenye udhibiti kupitia FA kiasi ya kwamba Manure ikatawala soka la kiengereza kupitia msaada wa hao majamaa
Woodward ndo kirusi na sio Pogba.Vichekesho vinaendelea
https://www.dailymail.co.uk/sport/f...chnical-director-promote-Michael-Carrick.html
Phelan wanazungumza nae awe director
Sijaona hicho unachokisema ninachoona alichoandika key words“Mchezaji mwenye kipaji kukubwa, mshindi, na mwenye hamu ya ushindi daima na mwenye uwezo wa kushindana katika viwango vya juu ktk mashindano mbalimbali ya ndani na kimataifa pasipokujali anacheza na nani na akawa analeta matokeo au kupelekea matokeo yanayohitajika kwa timu yake. HUYO NDIYE WORLD CLASS PLAYER”
Naomba uyasome ha uyaconcepualize maneno yake hayo hapo juu
Perhaps unaweza kututafsiria vingine
......kimataifa....
Aisee nmeona leo ndiyo umeongea point ya msingi toka nmekufaham mkuuYah! Ferguson aliwaweka kwenye udhibiti kupitia FA kiasi ya kwamba Manure ikatawala soka la kiengereza kupitia msaada wa hao majamaa
Hao hao kwani walikuwa hawachezeshi UEFA?Vipi ulaya maana fergie alifululiza kama sio nusu ni fainali miaka kibao, kule alikuwa anabebwa na nani?
Na usisahau nyie gerrard kila anafunga penalty 10+ kwa msimu, anapewa hadi hattrick ya penalty.
Kuna kipindi lingard alifananishwa na messiSasa watu wataelewa kwanini Fergie alimtoa Pogba. Sio Man utd player na auzwe tu, lingard, martial, tashford na lukaku nao wote wauziliwe mbali.
Timi inahitaji kujengwa upya sana. Mctominay ni mmoja ya wachezaji ambao unajua kama jamaa anachezea kwa ajili ya klabu
“Mchezaji mwenye kipaji kukubwa, mshindi, na mwenye hamu ya ushindi daima na mwenye uwezo wa kushindana katika viwango vya juu ktk mashindano mbalimbali ya ndani na kimataifa pasipokujali anacheza na nani na akawa analeta matokeo au kupelekea matokeo yanayohitajika kwa timu yake. HUYO NDIYE WORLD CLASS PLAYER”
Naomba uyasome ha uyaconcepualize maneno yake hayo hapo juu
Perhaps unaweza kututafsiria vingine
......kimataifa....
My input on WC player is one with combination of the following (not all)
1.Winner
2.Competitor
3.Decide games
4.Consistency on high level performance
5.Mental Strong/Motivate his teammates
6.Appreciated by opponent/competitors
Mimi ni Man utd fan lakini nilivosikia ivo nlikuwa nacheka sana. Niliwaona mapema yeye na rashford kuwa ni super overated players. Ni jezi ndio imewapa umaarufu sio uchezaji.Kuna kipindi lingard alifananishwa na messi
Huyu Tom nae alikuwa anakipiga fresh. Mimi sifahamu mpaka leo what is special about pogba? Hana mbio, anakaa na mpira sana na kupoteza, dribbling zenyewe ovyo. Japo anakuwa na pasi nzuri lakini haijawa justification ya price tag yake. Na yete ni overatedNamkumbuka Tom Cleverly alivyokuwa anakichafua pale kati halafu namtazama huyu Pogba anayekuzwa na kuonekana WCP nashangaa sana.
Nakubaliana na wewe.
Ila ndyo sifa yenu kupamba mavi maua hata oberten mwenye upara na januzaj waliitwa maronado wapyaMimi ni Man utd fan lakini nilivosikia ivo nlikuwa nacheka sana. Niliwaona mapema yeye na rashford kuwa ni super overated players. Ni jezi ndio imewapa umaarufu sio uchezaji.
Miaka 7 hatujabeba EPL na UCL ila kimapato tunawakimbiza waliobeba.In the long term run, they will need performance on the field to generate more money off the field
Any club financial success comes from winning, can't get huge deals if you are beaten 4 nil by Everton
Look City's current deal, it is the biggest only behind United's
Wanapambwa na media na fans ndio wanazidisha chumvi. Ila mm sipendi upumbavu. Hata Mkataba wa Ole nilisema ni kukurupuka. Timu inahitaji overhaul ya uhakika na pogba ndio kirusi namba moja asepeshwe.Ila ndyo sifa yenu kupamba mavi maua hata oberten mwenye upara na januzaj waliitwa maronado wapya
Pogba ni mbovu mara Mia ata horjberg yule kiungo wa Southampton au jonjo shelvWanapambwa na media na fans ndio wanazidisha chumvi. Ila mm sipendi upumbavu. Hata Mkataba wa Ole nilisema ni kukurupuka. Timu inahitaji overhaul ya uhakika na pogba ndio kirusi namba moja asepeshwe.
Which City deal is biggest?In the long term run, they will need performance on the field to generate more money off the field
Any club financial success comes from winning, can't get huge deals if you are beaten 4 nil by Everton
Look City's current deal, it is the biggest only behind United's
Ningekuwa kocha wa Manutd ningemuongezea mkataba afu ningemueka benchi misimu yote ilimradi tu kumuonesha km hana umuhimuPogba ni mbovu mara Mia ata horjberg yule kiungo wa Southampton au jonjo shelv
Miaka 7 hatujabeba EPL na UCL ila kimapato tunawakimbiza waliobeba.