Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mchawi wa man u ni furgeson na edwoord
 
Wakati timu inashinda sifa tulimpa yeye now inafungwa lawama sio zake
 
Ole nae tatizo toka aje young,jones na smalling wa saini mkataba ! Yeye ndo anachagua timu mpaka sasa hajui wachezaji wake wakikosi cha kwanza na hana kikosi ana bahatisha ! Kama lindelof cku ya barca alichemka kucheza kulia leo kamuweka tena nafasi ileile ! Rashford,martial na lingard hawakucheza vzuri mechi ya westham ila kawarudia tena mechi ya barca na leo tena ! Sanchez alocheza vzuri kutokea sub mechi ya barca leo ilibdi aanze pia kamueka nje ! Sahv anasema kuna wachezaji wataondoka cjui nini wakata wachezaji walochoka ndo kaanza kuwapa mkataba ! Hana jipya
 
√Sasa kwa alivyocheza Young gemu ya Barcelona anaanzaje kucheza leo??

√Martial ni hovyo pia ila ukimpanga Mata mbele ya Martial hayo yatakuwa masihara..maana Mata ameshachoka..yaani ni sawa kusema Amber rutty ni mrembo kumshinda Amber Lulu
Umekoment vizuri lakin umekosea KULETA mfananisho wa SLAY QUEENS kwa chama KUBWA KAMA MANCHESTER UTD......usifananishe Usawa wa ManUtd na Mi-tg
 
ningefurahi zaidi timu ingemaliza nafasi ya nane ili isishiriki kabisa mashindano yeyote ya ulaya ili tuanze na fresh page

fatigue, team selection, subs, willingness, poor marking na ubora wa Everton ndo sababu ya kupoteza leo nilivyoona mimi
 
Tofauti yake na Mourinho ni kuwa Mourinho ni mzuri sana kwenye sub, ana uwezo wa kujua tatizo katkat ya safar na kuweka mtu sahihi wa kurekebisha ..... Mou ni bingwa wa mikakati ya ushindi (master of tactics) Tatizo la mou sio innovator kama Guardiola, ndo mana huonekana kama mbahatishaji na muoteaji...sasa huyu Ole ni gogo tuu, yeye mwenyewe hajui afanye nin kama mambo yakienda kombo, kazi yake ni kufungulia wachezaji wakacheze, hana uwezo wa kufight to the last...hana uzoefu kabisa, in short Ole sio kocha, ana lack strategy kitu muhimu sana kwa kocha yyte
 
Nilitoa kama mfano mdogo tu kwamba hao maslay queen uchwara wote wabovu lakini amberlulu ana uafadhali
Umekoment vizuri lakin umekosea KULETA mfananisho wa SLAY QUEENS kwa chama KUBWA KAMA MANCHESTER UTD......usifananishe Usawa wa ManUtd na Mi-tg
 
MO pamoja na kuwa na mbinu lakini alifeli na timu hii kwahiyo tusitegemee chochote kwa huyu asiyekuwa na mbinu.

ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…