Kale kajamaa sikapendi kila sku kutembeleaa nyuz zake kama kalia umbea leo kimepigwa
Ila pole manyuu ndo mpira huo hao jama walitupga mbili bada ya alhms fever
Sidhani kama tatizo ni ogs. Tatizo ni wachezaji.
Hili ndio muo alilipigia kelele toka mwanzoni. Lakin hawakusikia. Wale wachezaji ni so average. Man u class players.. ni pogba na digea ..wengine hovyo.
Hata aje kocha kutoka mbinguni. Wka wachezaji hawa. Timu itafungwa tu