Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United imekuwa timu ya Cheap option sana niliwaambia mapema kumpa mkataba OLE ni sawa na upgrade version ya David Moyes hamkunielewa
 
No way out. Just depend on anaother match
huyu shajifia asee. Ila nafurahi wakipigwa leo jumatano watakuwa aggressive zaidi maana kama Chelsea na Arsenal wakishinda hiyo vita ya top four inatia njaa kweli achilia vita ya ubingwa.
 
Kwa hiyo mkuu wewe utaingia top 4???
Sio top 4 ,naingia nafas ya 3 kibabe,

Siku mnayocheza wewe na Chelsea ,

Ndio siku nitakayowapa mkono WA kwaheri ,maana mtakuwa mnagombania nafas ya 5 na 6
 
Poleni sana Manchester United imeshakuwa timu ya long terms project all over mmekwisha mmebakia kuwa timu ya Cheap cheap cheap option 😂😂😂😂😂
Hahahahahahahahah tuliyaona mapema
 
Bodi nao hawajui wanachokitaka, unampaje mtu mkataba mapema vile???
Timu inatoka bila shot on target hata moja?? ina maana training wanajifunza nini??
Niliwahi kusema humu lakini, japo nlikubali sosha apewe mkataba, ila nliwahi kusema humu, sosha hana falsafa!!
Anawafungulia tu mbwa bandani, aya nendeni mkawinde.
 
Kuwa mpole , wewe siulikuwa unapiga kelele Mimi kufungwa na Everton ,nikakwambia nilikuwa na majeruhi eneo la midfield, ukanicheka

Leo mapema tu ushalambishwa lolo

2-0
Zinarudi zote...Toa Martial weka Mata (huyu ankimbiza sana anahangaika sana uwanjani) Toa Dalot weka Young(huyu anapandisha sana mipira mbele na kupiga kross) acheze kulia Lindelof arudi pale kati, jones asogezwe kule kushoto.
 
Sio top 4 ,naingia nafas ya 3 kibabe,

Siku mnayocheza wewe na Chelsea ,

Ndio siku nitakayowapa mkono WA kwaheri ,maana mtakuwa mnagombania nafas ya 5 na 6
Mkuu leo unacheza na Zaha&Co. Jichunge
 
De gea na pogba wana haki ya kudai mshahara mkubwa, tena sanaaa tuu,
Sababu kama timu lenyewe ndo hivi halina dira, yanini ubaki?? si bora upate hela ndefu tuuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…