Manchester United (Red Devils) | Special Thread


Nadhani Klopp siyo ideal kwenye mfano wako.

Sisi wenyewe washabiki anatukera kwa kutouza maharasha, kayakumbatia tu.
 
Ukweli mchungu kwetu mashabiki wa Man United.... Liverpool ni timu bora ulaya kwa mara nyingine....sisi tukisema tufocus wachezaji wa paun mil 150 tunaumia....tusajili kwa akili, mchezaji raia wa nchi yoyote mwenye uwezo aje hilo ndo hitaji kubwa
tatizo sio kusajili wachezaji wa paundi milioni 150 tatizo ni kusajili wachezaji bora.

mfano mzuri Liverpool ukimtoa Keita, Van Dijk na Allison hakuna mchezaji alivuka paundi mil 50
nenda Dortmund, Ajax, Spurs, Tico Tico wana timu nzuri kuliko United inayonunua wachezaji mapaundi kwa mapaundi lakini ukiangalia wachezaji na bei walionunuliwa unabaki mdomo wazi.

expensive does not guarantee
 
Kauli zake ni za mkosaji, sizitaki mbich hizi. Anaongoa nonsense. Can a professional coach buy a player who cost a club 500000 on the bench?

How can you cost a club million of pound purchasing players you dont need, look atSanchez use less, see lukaku, how many goal did he score?

Kocha ambaye anafanya vby ili afukuzwe, azoe bilion of money. Surbotage
 
Liverpool atapata shida sana kwa Barca na ninadhani Barca wataenda fainali. Kitendo cha Barcelona kuwa na Messi ni habari nyingine kabisa.
 
Liverpool siyo wazuri sana pia,kuna makosa huwa wanafanya tena kibao tu,so wakikutana na timu yenye wachezaji clinical inakuwa habari nyingine. Naona nafasi ya liver ni finyu. Barca wametufunga kihalali hawajabahatisha
 
Tatizo la Liverpool la kwanza tunaanzia kwa kocha mwenyew upangaji wake
Liverpool siyo wazuri sana pia,kuna makosa huwa wanafanya tena kibao tu,so wakikutana na timu yenye wachezaji clinical inakuwa habari nyingine. Naona nafasi ya liver ni finyu. Barca wametufunga kihalali hawajabahatisha
 
Umemaliza mkuu .
 
GGMU kama umeumia pole still am Man u fan haibadiliki hio.

Hii ni mara ya mwisho kukujibu popote pale JF coz hujui kitu unapanic mno,cheki hadi unakosea spelling

narudia tena BADO NAIAMINI MAN U.
kumbe ni ka dada
Acha kujipa Maumivu yasiyo ya msingi We Dada.
MUNGU HAKUNYIMI VYOTE,ASIPOKUPA FURAHA ,ATAKUPA HUZUNI
 
Only three managers have EVER managed to win the EPL title with Manchester United in our 141-year history: Ernest Mangnall, Matt Busby and Alex Ferguson.
 
Corrections
Updated salaries
Dele Ali £100,000/week
Tripper £65,000/week
 
Mkuu usidhani

Huo ndio uhalisia, Liverpool hana mpira wa kuifunga Barca

Jambo pekee linaloweza kuivusha Liverpool ni bahati
Sure mkuu maana Liverpool hata ww anapataga tabu Sana kukufunga
 
Mkuu usidhani

Huo ndio uhalisia, Liverpool hana mpira wa kuifunga Barca

Jambo pekee linaloweza kuivusha Liverpool ni bahati
Wenye mpira wa kuifunga Barcelona ni Manchester United si ndio mkuu
 
Mkuu usidhani

Huo ndio uhalisia, Liverpool hana mpira wa kuifunga Barca

Jambo pekee linaloweza kuivusha Liverpool ni bahati

Wewe itakuwa unafatiliaga mpira wa livescore na bado kichwan mwako ipo ile barcelona ya wakina xavi, iniesta pia kichwan mwako ipo liver ya wakna benteke.

Ukweli ni kwamba mambo yamebadilika sana! Kwa sasa liverpool ni team iliyo well orhanized na sio jeshi la mtu mmoja kama barca.

Ni udhaifu wa man u ndiomana mmeshindwa kuifunga barca, subir may1 utaona jinsi barca atakavyochakazwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…