Jidanganye ivyo ivyo Barca wakitaka kukufunga hata waweke kilema uwanjani wanakufunga sasa kama Liverpool ina draw na man u unafikir itaifunga Barca?Hakuna kitu pale Barca kaokota embe dodo kwenye mchongoma, maana laiti kama Man Utd ingekuwa na washambuliaji wenye njaa kama Liverpool au Man City Barca ni nyeupe kama Simba tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndyo maana mnefungwa Kwa uchambuzi huo duh! Hata mmeo anakazi sanaHakuna kitu pale Barca kaokota embe dodo kwenye mchongoma, maana laiti kama Man Utd ingekuwa na washambuliaji wenye njaa kama Liverpool au Man City Barca ni nyeupe kama Simba tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kitu pale Barca kaokota embe dodo kwenye mchongoma, maana laiti kama Man Utd ingekuwa na washambuliaji wenye njaa kama Liverpool au Man City Barca ni nyeupe kama Simba tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yan hadi huruma, sasa ukute mashabiki wao jinsi wanavyoipamba timu yao utabaki na mshangao.
Ni kweli najua alitofautiana na Paul Pogba na Anthony Martial, so ilimuweka wakati mgumu.Yes indeed. Mou huendakuwa alikuwa haelewani na wachezaji lakin he had a point.
Man u hakuna wachezaji wa kushindania ubingwa. Bunch of average players.
Nusu ya timu ni uozo.. kuanzia defence na attack . Hakuna mchezaji wa kueleweka.
Lazima wasajili kama wanataka kushindana
Sent using Jamii Forums mobile app
Jidanganye ivyo ivyo Barca wakitaka kukufunga hata waweke kilema uwanjani wanakufunga sasa kama Liverpool ina draw na man u unafikir itaifunga Barca?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndyo maana mnefungwa Kwa uchambuzi huo duh! Hata mmeo anakazi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo liva wako anacheza na porto, mwombee neema naye akutane na sisi.. Alafu uje kuandika haya tena.
Nilishangaa mechi ya Westham eti Mactominay nae alipumzishwa kwa ajili ya Barca, huu ni utani wa karne.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanafki sana afu saiv wanakuja kuwachukia michezaji miingereza akat gem ya kwanza walijitapa sanaaa hawa manureWalivyomtoa damu Messi game ya Kwanza si mlisikika mkisema waongezewe mshahara na wapewe mikataba mipya
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah ndo shida ya manyua wakasema kama waliwapiga juve home na psg home basi na barca itakuwa hivyonjoo unywe juice...
Kosa lenu ni kutufananisha na psg pumbavu...
Nadhani ulimuona king alivo kuwa anafanya skills za makusudi kuwaonyesha muwe na heshima..
This is BARCA
Martial ulimuona muda gani?
Manyumbu nzima alieonekana ni De Gea tu! Tena wakati anakojolewa hizo bao 3.
Pogba mpira ukamshinda akaanza kucheza kareti, mara anajitafutisha red ili atolewe Manyumbu yaanze kusema angekuepo Pogba tungeshinda
Yeah ndo shida ya manyua wakasema kama waliwapiga juve home na psg home basi na barca itakuwa hivyo
Ila kilichowatokea wanaugulia saiv
Sent using Jamii Forums mobile app
Week squad ni nini chief?A Night Not to Remember
Blame to Ole, blame to week squad, blame to the board
Kuna hitaji la kuongeza watu 4-5 wa maana pale United (hili tunalisema kila siku)
Mechi ya jana imeonesha tuna kazi ya kufanya ili kufika where we belong
Ole asipoangalia mbele ya safari atajikuta pabaya kwa poor team selection (English Fc, Rashford over Lukaku, Jones over Dalot...... Kituko hicho)
Kuna wachezaji tutawapoteza next season (Lukaku mmoja wapo). Hivi Rashford anawezaji kumweka Lukaku benchi?
Bila kujali mambo mengine Barca wapo vizuri kuliko sisi, lakini with the right team selection tungeweza kufanya vizuri zaidi
Young ni fighter lakini uwezo mdogo, pengine umri unachangia, hivyo kumlaumu ni kumuonea tu
A NIGHT TO GIVE GLAZER AND ED A LESSON, THAT ..... THEY HAVE TO SPEND.
Sent using Jamii Forums mobile app
Panahitajika usajili makini kuziba mapengo.