1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 10,125
- 14,207
Mkuu mi Man U, ila nlijua tunapigwa hata sikujisumbua kwenda vibanda umiza, kwa beki young hata big four tukiingia bahati sana,, kama tungepangwa na Ajax basi ingekuwa goli nyingi,,Hapana degea yuko vizuri.. ila angalia defence iliyokaa mbele yake.. defence ya kina smalling .. jones.. young..? Unatarajia messi akuache kweli?
Degea akipata defence kama ya liverpool..mancity..hutomfunga kirahis. Man u hawana defence ya kueleweka.
Pogba nae hana hawez kucheza mwenyewe pale middle. Lazima tukubaliane kuwa fred sio kiungo mkabaji. Ni namba nane kama pogba. Halaf mkabaji unategema tominay na wenzie? Kweli?
Hawa wachezaj ni wazuri ila wamezungukwa na shit players.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pogba sio saizi ya utatu mtakatifu wa Barca pale kati hadi dogo Arthur ni Bora kuliko pogbaMartial ulimuona muda gani?
Manyumbu nzima alieonekana ni De Gea tu! Tena wakati anakojolewa hizo bao 3.
Pogba mpira ukamshinda akaanza kucheza kareti, mara anajitafutisha red ili atolewe Manyumbu yaanze kusema angekuepo Pogba tungeshinda
Kutokana na gundu ulilotoka nalo man u hata Ajax hapo ndyo mwisho waoMkuu mi Man U, ila nlijua tunapigwa hata sikujisumbua kwenda vibanda umiza, kwa beki young hata big four tukiingia bahati sana,, kama tungepangwa na Ajax basi ingekuwa goli nyingi,,
Tukubali tu man hatuna beki,
Nimeamia AJAX Kujipoza machungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mictomnay si mlikuwa mnamfananisha na gatuso nyieHapana degea yuko vizuri.. ila angalia defence iliyokaa mbele yake.. defence ya kina smalling .. jones.. young..? Unatarajia messi akuache kweli?
Degea akipata defence kama ya liverpool..mancity..hutomfunga kirahis. Man u hawana defence ya kueleweka.
Pogba nae hana hawez kucheza mwenyewe pale middle. Lazima tukubaliane kuwa fred sio kiungo mkabaji. Ni namba nane kama pogba. Halaf mkabaji unategema tominay na wenzie? Kweli?
Hawa wachezaj ni wazuri ila wamezungukwa na shit players.
Sent using Jamii Forums mobile app
SawaKutokana na gundu ulilotoka nalo man u hata Ajax hapo ndyo mwisho wao
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa naona na kile kiremba cha Phil JonesMartial ulimuona muda gani?
Manyumbu nzima alieonekana ni De Gea tu! Tena wakati anakojolewa hizo bao 3.
Pogba mpira ukamshinda akaanza kucheza kareti, mara anajitafutisha red ili atolewe Manyumbu yaanze kusema angekuepo Pogba tungeshinda
Mkuu wewe unawachaga ukweli ila wenzio sasa kaz kupamba mavi mauaSio mm . Labda baadhi ya washabiki. Mactominay bado sana.. ndio kwanza anakua halaf wanataka kumtegemea. Wamefeli vibaya sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Defence ni ya kununua mpya. Kama man city walivyofanya. Wakaondoa wote. Sahiz wana defence mpya kabisa angalia walipofika.Mkuu mi Man U, ila nlijua tunapigwa hata sikujisumbua kwenda vibanda umiza, kwa beki young hata big four tukiingia bahati sana,, kama tungepangwa na Ajax basi ingekuwa goli nyingi,,
Tukubali tu man hatuna beki,
Nimeamia AJAX Kujipoza machungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Moja kati ya watu wa ajabu kwenda Man U ni Paul Pogba.Hapana degea yuko vizuri.. ila angalia defence iliyokaa mbele yake.. defence ya kina smalling .. jones.. young..? Unatarajia messi akuache kweli?
Degea akipata defence kama ya liverpool..mancity..hutomfunga kirahis. Man u hawana defence ya kueleweka.
Pogba nae hana hawez kucheza mwenyewe pale middle. Lazima tukubaliane kuwa fred sio kiungo mkabaji. Ni namba nane kama pogba. Halaf mkabaji unategema tominay na wenzie? Kweli?
Hawa wachezaj ni wazuri ila wamezungukwa na shit players.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilishangaa mechi ya Westham eti Mactominay nae alipumzishwa kwa ajili ya Barca, huu ni utani wa karne.Sio mm . Labda baadhi ya washabiki. Mactominay bado sana.. ndio kwanza anakua halaf wanataka kumtegemea. Wamefeli vibaya sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kuuza ni kufukuza maana hata hawauzikiDefence ni ya kununua mpya. Kama man city walivyofanya. Wakaondoa wote. Sahiz wana defence mpya kabisa angalia walipofika.
Na si defence tu... attacking hamna kabisa. Man u haina winga.. haina namba tisa.. namba 10..
Nusu ya timu ni ya kufukuza
Sent using Jamii Forums mobile app
Na Ashley young ndiye aliyepumzishwa Kwa mbwembwe zoteNilishangaa mechi ya Westham eti Mactominay nae alipumzishwa kwa ajili ya Barca, huu ni utani wa karne.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kitu pale Barca kaokota embe dodo kwenye mchongoma, maana laiti kama Man Utd ingekuwa na washambuliaji wenye njaa kama Liverpool au Man City Barca ni nyeupe kama Simba tu.Ulichokiandika ndiyo maajabu ya dunia