Nadhani mnawaona hao watoto mnaosema wana vipaji sijui nn hahaha unajua siku zote muda utasema ukweli tu mourinho alituambia ukweli mchungu tukamwona mchawi sasa hiki kikosi cha wapuuzi kinaweza kweli kumfunga barca??? Hahaha tuendelee kufatilia hii mechi tutaona mengi na mashabiki mtafunguka macho
Sent from my iPhone using JamiiForums