Mbu JF-Expert Member Joined Jan 11, 2007 Posts 12,752 Reaction score 7,876 Mar 15, 2012 #10,701 Balantanda said: Kwani aggregate ni ngapi ngapi?..... Click to expand... 5- 3.... Hawa manure wametolewa tena Europe, twice in one year, aaarrrgghhh..
Balantanda said: Kwani aggregate ni ngapi ngapi?..... Click to expand... 5- 3.... Hawa manure wametolewa tena Europe, twice in one year, aaarrrgghhh..
Mbu JF-Expert Member Joined Jan 11, 2007 Posts 12,752 Reaction score 7,876 Mar 15, 2012 #10,702 Mc Tilly Chizenga said: 5-3!waingereza na mashabiki wote wa timu za uingereza tumefungwa Click to expand... ...correction mkuu, Vibabu vya darajani bado vinajikongoja....
Mc Tilly Chizenga said: 5-3!waingereza na mashabiki wote wa timu za uingereza tumefungwa Click to expand... ...correction mkuu, Vibabu vya darajani bado vinajikongoja....
Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member Joined Feb 7, 2012 Posts 4,641 Reaction score 3,686 Mar 15, 2012 #10,703 Mbu said: ....Rooney, fantastic goal!....haya, tokeni machimbo nyieee... Click to expand... tunafia hukuhuku ktk machimbo!hatoki mtu!
Mbu said: ....Rooney, fantastic goal!....haya, tokeni machimbo nyieee... Click to expand... tunafia hukuhuku ktk machimbo!hatoki mtu!
Balantanda JF-Expert Member Joined Jul 13, 2008 Posts 12,484 Reaction score 4,821 Mar 15, 2012 #10,704 Aisee.......Aibu Yaani hata Intertoto wanatolewa.......Lol!
Mbu JF-Expert Member Joined Jan 11, 2007 Posts 12,752 Reaction score 7,876 Mar 15, 2012 #10,705 Mc Tilly Chizenga said: tunafia hukuhuku ktk machimbo!hatoki mtu! Click to expand... Hahaha...haya jiteteeni sasa, mpira umeisha.... hata intertoto cup imewashinda, njooni tusaidiane EPL.... tutawakamua Man6 angalau muendelee kukang'ang'ania hako ka pwenti...
Mc Tilly Chizenga said: tunafia hukuhuku ktk machimbo!hatoki mtu! Click to expand... Hahaha...haya jiteteeni sasa, mpira umeisha.... hata intertoto cup imewashinda, njooni tusaidiane EPL.... tutawakamua Man6 angalau muendelee kukang'ang'ania hako ka pwenti...
Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member Joined Feb 7, 2012 Posts 4,641 Reaction score 3,686 Mar 15, 2012 #10,706 Mbu said: ...correction mkuu, Vibabu vya darajani bado vinajikongoja.... Click to expand... anyway,nilichokuwa namaanisha ni kwamba,spanish football imeifunga english football in a broader view!
Mbu said: ...correction mkuu, Vibabu vya darajani bado vinajikongoja.... Click to expand... anyway,nilichokuwa namaanisha ni kwamba,spanish football imeifunga english football in a broader view!
Shakazulu JF-Expert Member Joined Feb 23, 2007 Posts 957 Reaction score 283 Mar 15, 2012 #10,707 Mc Tilly Chizenga said: english teams wakifikia level ya spanish teams watakuwa wanazifunga sana teams za spain!rooney shot 1 goli 1! Click to expand... Kwani wao watakuwa wamesimama wanawangoja muwafikie?
Mc Tilly Chizenga said: english teams wakifikia level ya spanish teams watakuwa wanazifunga sana teams za spain!rooney shot 1 goli 1! Click to expand... Kwani wao watakuwa wamesimama wanawangoja muwafikie?
Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member Joined Feb 7, 2012 Posts 4,641 Reaction score 3,686 Mar 15, 2012 #10,708 Mbu said: Hahaha...haya jiteteeni sasa, mpira umeisha.... hata intertoto cup imewashinda, njooni tusaidiane EPL.... tutawakamua Man6 angalau muendelee kukang'ang'ania hako ka pwenti... Click to expand... mkiwafunga man city mtakuwa waungwana sana kwetu kama sisi tulivyokuwa waungwana kwenu kwa kumnyoosha tottenham!all the best!
Mbu said: Hahaha...haya jiteteeni sasa, mpira umeisha.... hata intertoto cup imewashinda, njooni tusaidiane EPL.... tutawakamua Man6 angalau muendelee kukang'ang'ania hako ka pwenti... Click to expand... mkiwafunga man city mtakuwa waungwana sana kwetu kama sisi tulivyokuwa waungwana kwenu kwa kumnyoosha tottenham!all the best!
MwafrikaHalisi JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 1,741 Reaction score 511 Mar 15, 2012 #10,709 Mc Tilly Chizenga said: 5-3!waingereza na mashabiki wote wa timu za uingereza tumefungwa Click to expand... Tafadhali sana. Ni Man Utd ndo kafungwa na timu inayoshika nafasi ya 7 La Liga - AIBU
Mc Tilly Chizenga said: 5-3!waingereza na mashabiki wote wa timu za uingereza tumefungwa Click to expand... Tafadhali sana. Ni Man Utd ndo kafungwa na timu inayoshika nafasi ya 7 La Liga - AIBU
Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member Joined Feb 7, 2012 Posts 4,641 Reaction score 3,686 Mar 15, 2012 #10,710 Shakazulu said: Kwani wao watakuwa wamesimama wanawangoja muwafikie? Click to expand... nimesema wakiwafikia!wasipowafikia basi imekula kwao!lakini mambo hubadilika pia!leo spain si wameshawapita brazil?ushawahi kuisikia Hungary ya Puskas?ilitisha ulaya nzima kama si dunia!
Shakazulu said: Kwani wao watakuwa wamesimama wanawangoja muwafikie? Click to expand... nimesema wakiwafikia!wasipowafikia basi imekula kwao!lakini mambo hubadilika pia!leo spain si wameshawapita brazil?ushawahi kuisikia Hungary ya Puskas?ilitisha ulaya nzima kama si dunia!
GIUSEPE JF-Expert Member Joined Mar 8, 2011 Posts 209 Reaction score 80 Mar 15, 2012 #10,711 Kimyaaa!
MwafrikaHalisi JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 1,741 Reaction score 511 Mar 15, 2012 #10,712 Ambitious said: Dah!? Leo naona mnaongea yote. Click to expand... Acha tuongee. Sasa mmecheza utumbo gani? Hahahahaha! Yani hata mkichukua EPL ni aibu. Hamstahili kwa kweli
Ambitious said: Dah!? Leo naona mnaongea yote. Click to expand... Acha tuongee. Sasa mmecheza utumbo gani? Hahahahaha! Yani hata mkichukua EPL ni aibu. Hamstahili kwa kweli
MwafrikaHalisi JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 1,741 Reaction score 511 Mar 15, 2012 #10,713 GIUSEPE said: Kimyaaa! Click to expand... Wamepigwa nje ndani dah! Hahahahaha
Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member Joined Feb 7, 2012 Posts 4,641 Reaction score 3,686 Mar 15, 2012 #10,714 MwafrikaHalisi said: Tafadhali sana. Ni Man Utd ndo kafungwa na timu inayoshika nafasi ya 7 La Liga - AIBU Click to expand... enhee!hicho ndio nilichokuwa namaanisha!kwamba kama mimi kiboko yenu nimefungwa hivi maana yake nyinyi ninaowaongoza ndio utumbo kabisaaaa!
MwafrikaHalisi said: Tafadhali sana. Ni Man Utd ndo kafungwa na timu inayoshika nafasi ya 7 La Liga - AIBU Click to expand... enhee!hicho ndio nilichokuwa namaanisha!kwamba kama mimi kiboko yenu nimefungwa hivi maana yake nyinyi ninaowaongoza ndio utumbo kabisaaaa!
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,585 Mar 16, 2012 #10,715 poleni sana kwa kipigo cha mwaka nje ndani dah poleni sana..
Viper JF-Expert Member Joined Dec 21, 2007 Posts 3,666 Reaction score 1,406 Mar 16, 2012 #10,716 ehehehe........ :lock1:
Rejao JF-Expert Member Joined May 4, 2010 Posts 9,219 Reaction score 4,085 Mar 16, 2012 #10,717 Baada ya kichapo, Fergie admitted kuwa Bilbao ni best team in Europe na akashukuru kwa kutofungwa magoli mengi zaidi!!
Baada ya kichapo, Fergie admitted kuwa Bilbao ni best team in Europe na akashukuru kwa kutofungwa magoli mengi zaidi!!
Ambitious JF-Expert Member Joined Dec 26, 2011 Posts 2,143 Reaction score 878 Mar 16, 2012 #10,718 Rejao said: View attachment 49439 View attachment 49440 View attachment 49441 Baada ya kichapo, Fergie admitted kuwa Bilbao ni best team in Europe na akashukuru kwa kutofungwa magoli mengi zaidi!! Click to expand... Asante kwa hizi picha nzuri mkuu naona unatujali sana mashabiki wa Man U..
Rejao said: View attachment 49439 View attachment 49440 View attachment 49441 Baada ya kichapo, Fergie admitted kuwa Bilbao ni best team in Europe na akashukuru kwa kutofungwa magoli mengi zaidi!! Click to expand... Asante kwa hizi picha nzuri mkuu naona unatujali sana mashabiki wa Man U..
Rejao JF-Expert Member Joined May 4, 2010 Posts 9,219 Reaction score 4,085 Mar 16, 2012 #10,719 Ambitious said: Asante kwa hizi picha nzuri mkuu naona unatujali sana mashabiki wa Man U.. Click to expand... poleni sana mkuu!
Ambitious said: Asante kwa hizi picha nzuri mkuu naona unatujali sana mashabiki wa Man U.. Click to expand... poleni sana mkuu!
Ambitious JF-Expert Member Joined Dec 26, 2011 Posts 2,143 Reaction score 878 Mar 16, 2012 #10,720 Rejao said: poleni sana mkuu! Click to expand... Asante mkuu nimeamini usemi wa Liverpool kwamba 'Europa leageu ina wenyewe'..
Rejao said: poleni sana mkuu! Click to expand... Asante mkuu nimeamini usemi wa Liverpool kwamba 'Europa leageu ina wenyewe'..