francis kibiki
JF-Expert Member
- Jul 8, 2018
- 477
- 521
hahahahaha
hahahahaha

Yupo swafi kiafya. View attachment 1067396
Leo kama kawaida tunaishangaza Dunia!!
Hahahahahaha, mkuu mimi humu nyumbani, kule huwa Nam troll malafyale na mwenzake King NgwabaMkuu huqa sielewagi Wewe ni fan wa timu gani? Maana Liverpool akishinda kwako ni shangwe tu ..manure naye ivo ivo ..leo manure kapigwa kwaiyo utahamia liver adi mwisho wa msimu???
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo fomesheni kule Kyela tunaita Koma kumwanya ( piga juu ukadondokee goli la adui )Man Kama mfumo ndio huu 9:0;1 watamtoa nani?View attachment 1067773
WAPO WANANIELEWA MPAKA HAWAJIELEWI
Punguza Ramli..Timu zote za kutoka jiji la Manchester HAZITAVUKA HATUA YA ROBO FAINALI.
Sent using Jamii Forums mobile app
Manure mnapigwa hadi mchakaeHii ni kwa sababu enzi za timu kutoka Laliga Santander kutamba Zimekwisha, Ukiangalia kwa umakini ubutu wa safu ya ulinzi ya Barca na ukali wa washambuliaji wa Man U wakiongozwa na Marcus utagundua kwamba Barcelona haitoki nje ndani.
Ni suala la kusubiri tu .
Mkuu tuliza kiraruraru najua bado unaugulia maumivu ya weekendManyumbu 0 barca 5
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
We unaucheza kwenye keyboard za nini?Uzuri rekodi inabaki hapa, messi leo (.......) sitaki kuongea mengi.. Mpira hauchwezi kwenye keyboard za android
Daa taabu tupu hapo, mnatia huruma sanaGGMU
Hopefully kikosi kitakuwa kama hiki;
De gea
Young Lindelof Smalling Shaw
Fred McTominay Pogba
Lukaku Rashford Martial