interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,409
Haha jibu 1 la nguvu hadi Mtu kaamua kutulia kama maji ya mtunginiChelsea mtavuka na mtacheza fainali na Barca.

Sent using Jamii Forums mobile app
Haha jibu 1 la nguvu hadi Mtu kaamua kutulia kama maji ya mtunginiChelsea mtavuka na mtacheza fainali na Barca.

Sipati picha jinsi gani young atapata tabu dhidi ya Alba+Coutihno(Dembele).
Herrera hatokuepo,
Sent using simu mbovu
Naiman Leo barca hawataniangusha
Kocha amekusikia bro
1:100Hahaaaa... We Jamaa si kila Mtu anaichukia Man U wakati wote hata kama asipokuwa na mshabiki wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna tabu mzee... Watakuangushaje watu 11?Naiman Leo barca hawataniangusha
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Nishafika mkuu, Leo tutakuwepo hapa hadi asubuhi
Nitafurahi Leo mkikunyungwa za kutosha maana MNA mdomo mrefu
Muwin muende wapi
Kila mtu ana mdomo kwa timu yake... Umejishau wwe na mdomo kule kwenu?Nitafurahi Leo mkikunyungwa za kutosha maana MNA mdomo mrefu
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Sipati picha Leo messi akipata fauloKila mtu ana mdomo kwa timu yake... Umejishau wwe na mdomo kule kwenu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm binafsi siipendi MUFC lkn si anapokutana na hao wabaguzi wa rangi maarufu duniani kuliko timu yoyote ile(Barcelona).1:100