Ole ndo alimwambia Young akapigwe red? Au Smalling akajifunge?Mlimsifu sana ole
Kumbe alikua anataka mkataba tu
Mmeingia chaka hapo
kama ulipokea usisite kutoa tena
So what?Emery says Ramsey only suffered cramp, sounds like he and Koscielny will almost certainly be available on Sunday
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Nimemix group
The world-class team will destroy everton
Cute b tuandalie masufuria mama tuanze kuchakalika
Watu wamegoma huko England! Wanataka Wolves avue mask wanahisi ni Dortmund
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
wolves wanatamani kila weekend wacheze na sisi(man u).
Sent using simu mbovu
Piga mbuzi hawa
Teh!teh!Huioni au kiburi tu???
Mbwa ukimjua jina hata hakusumbui
We jamaa lazima tu utatupenda hiyo game, hahahahaWakuu poleni na matokeo haya, bado niko na ninyi kuhakikisha kwamba haya matokeo yanawauma hivyo mcheze kufa kupona dhidi ya City.
acha kumsumbua mfiwa.
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Dada wa marehemu kajitokeza!!!
Pole Dada.
msiba hauna mualiko ni kisogea tu walipojaa watu na kujumuikanyie mijitu ya chelshit na arse-anal mnaviherehere!harusi haiwahusu na wala hamkualikwa lakini nyie ndio wapiga vigelegele unafki tu umewajaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Thread yetu imefikisha replies 107k na views 3M.
Hakika MUFC ni timu kubwa na yenye mashabiki wengi. Ni hivi vitoto vinatuangusha tu.
Ni ukweli ulio wazi kwamba timu nyingine hazina mashabiki bali zinashabikiwa na wenye chuki na MUFC.