Manchester United (Red Devils) | Special Thread

😁😁😁😁😁 naongoza ligi ,Uefa mpaka sasa ni kama nipo semifinal......... wewe hiyo timu yako kama kikundi chako wapika gongo wa yombo vituka mnajipya gani?? Wagalatia nyie

Mashabiki wa Liverpool bwana utawajua tu sasa kwani kuongoza ndo kushinda? mpira unachezwa uwanjan sio mezani,sasa kama hatuna jipya mbna unajishobokesha huku?
 
Mmh mkuu Damushin, hayo maneno ya OLE hapo mwisho, nazani kuna neno "hopefull".

Kivyovyote vile hoja yako ina mashiko, kwani ni nani asiyemjua ED woodward. Record yake ndio inatupa mashaka.hususani swala la phil jones.

At the same time hoja ya Nokia83 nayo inaweza kuwa kweli, maybe kuna vitu vinaendelea background.

Sent using simu mbovu
 
ahsante sana nimepitia BBC nimeisoma taarifa .

There are so many players that have been written about that we're interested in and I'm sure when we decide what we have to do, hopefully we'll get them by pre-season."
 
Mashabiki wa Liverpool bwana utawajua tu sasa kwani kuongoza ndo kushinda? mpira unachezwa uwanjan sio mezani,sasa kama hatuna jipya mbna unajishobokesha huku?
Jiandae mapema kwa miaka mingine ya Tabu na Mateso ............Na washauri ndugu zako walio karibu na Wewe waweke mbali vitu vyote vyenye ncha Kali Kisu, Panga, Sime, la sivyo watakupoteza.
 
Next director of football then tunaanza transfers...kama kuna jambo nimeridhishwa nalo basi ni hili la kumtangaza kocha mapema.kuna future uncertain among the players...kuna watu hawajawa commited sabb hawajui watacheza chini ya nani...likes of de gea,herera...unajua kuna influence kubwa sana katika kusaini mkataba ikiwa una uhakika na stability ya club...unaweza uka saini leo 5yrs contract alaf mwisho wa msimu mbaya wako anapewa timu ivyo iyo ni faida na jambo kwa cc fans kuwa *clarified na manegerial issue* jambo la pili ni tranafers watu wana work behind the scenes...sasa hivi hakuna mambo ya kizamani usajil mpaka dirisha lifunguliwe...inaleta competition the desperations ikizidi unapigwa bei kwa panic buying...so ni muhimu kusajili mapema dirisha likifunguliwa mna idhinisha tu..sasa utasajili vipi mapema kama huna kocha...!? Nani anaandaa transfer wishlist.!? So kama unapenda kupata taarifa nzema za usajil wa haraka basi furahia kutangazwa kwa kocha mapema...mwisho ni vema kocha ajulikane aelezee mipango ya wahusika kwa wachezaj asiowahitaji pia nakueleza aina ya pre season anayoitaka....kwenye mpira kuna vitu vingi so vitu kama umbali wa kusafir kwa muda mfubi between matches makocha huwa hawapendi sabb huathiri maandalizi sambamba na training environment vitu ambavyo hupangwa mapeema prio to pre season...unajua kuwa na pre season bora ndo sabb yakuwa na squad bora nakufanya poa sana ukibisha muulize mou...huku ndo kule ambapo watu wanakimbizwa mpaka wanakohoa damu ili ku meet work rate anayo demand kocha hasa huyu kocha wetu anaesema anataka timu yake iwe ndo fittest of all.....he has alot of demand kwenye fittness na style ya counter athletic football....muacheni ajieleezee mapema.....pre season fixtures is out...after these last weeks of fighting for this season we need to prepare well for the next one....

#ole's at the weel

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu dirisha la January huwa ni gumu sana, hata ukisajili huwezi kupata mchezaji world class maana kila timu inang'ang'ania kubaki na wachezaji wake ili isishuke daraja au ipambanie nafasi flani kwenye ligi au ichukue kombe.

Kumbuka pia, timu hazitaki kuuza wachezaji January maana ni ngumu kupata wa kuziba nafasi

Kuna watu wana mashaka kwamba OGS atakuwa ni Mr. YES MAN kwa Ed na matajiri wa timu, lakini ni mapema sana ku judge hilo. Apewe benefit of doubt kwanza kabla hajahukumiwa.
Tumeshashuhudia dirisha moja tayari likipita na huyo kocha wenu akisema anafuraha na kikosi alichonacho.

Don't expect anything new other than Phil jones and Rashbeck to sign their new contracts.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaweza kusajili mchezaji kutoka kokote ila wasilete mbrazil

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tusishangae tukapata mshangazo wa Patrice Evra kupewa hiki kiti, sidhani kama ile kuonekana na ed woodward kila game wako pamoja ilikua ni kwa ajili ya kuangalia mpira tuu, nadhani Evra kuna nafasi anatafutiwa pale OT, na huenda ikawa ndio hii,
Ikumbukwe SAF kabla hajastaafu alimsifia sana Evra kuwa anajua kuongoza wengine na alimtabiria kuwa kocha mzuri baadae kama akiamua kuwa kocha kuliko giggs, akasema giggs ni mkimya sana, kocha anahitaji mtu aliechangamka kidogo,
Pia, nilikuwa nasoma makala moja jana,
Wakasema, lengo la kumrudisha OGS, ilikua ni kuirudisha utd katika njia zake, ndio maana akarudi OGS, akarudishwa na Mike Phelan, na SAF amesogea karibu na timu kuliko nyakati zote tangu alivyostaafu,
Inasemekana nafasi ya director of football position inaenda kushikwa na SAF mwenyewe kupitia kioo cha mtu mwingine anaeifahamu united, ndio maana hapa mtu kama Evra anaingia kwenye picha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kocha yyte yule mwenye uwezo wa kuchukua makombe football is all about trophies sio kama livapool wanaofurahia hugging.

Unamuondoa kocha mwenye makombe 27 kwenye carrier yake unaenda kumchukua kocha aliyeishindwa hata Cardiff city.
Pale Molde (Norway) alishabeba ndoo mara 2. Na kumbuka hii timu ikikuwa haijawahi kuchukua kombe kwa miaka zaidi miaka tangu ianzishwe

Isitoshe OGS ndio yupo kwenye early stages za carrier yake kwahiyo kimafanikio si sawa kumfananisha na Jose

Hakuna anayebisha kwamba Jose ni moja kati ya makocha wenye mafanikio na ninaamini bado anaweza kuwa na mafanikio hata mbele ya safari, lakini kwa United it was no longer working.

Pia Jose huwa ni kocha wa misimu 2, msimu wa 3 lazima aharibu

Kiuwezo kama kocha Jose yupo vizuri lakini tactics sio kila kitu kwenye coaching, kuna suala la kuwa na uwezo wa kumotisha wachezaji wako, pia kuna ishu ya man management skills n.k.

Mfano juzi juzi, Rooney amesema kati ya makocha wote waliomfundisha Van Gaal was a best tactician. Sasa unataka uniambie Van Gaal over all kama kocha anamzidi Fergie?

Kinachonichekesha zaidi option zako unazotoa, eti OGS hana uwezo na timu apewe Pulis. Pulis ni kocha wa kunusuru timu zisishuke daraja, wewe nani amekwambia United inataka kushuka daraja



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu hawana record Molde ya Ole ilikuwa vizuri sana.

Na ili timu hii ikae sawa inahitaji kocha insider siyo hao wasioijua football culture ya man u

Sent using Jamii Forums mobile app
 
naongoza ligi ,Uefa mpaka sasa ni kama nipo semifinal......... wewe hiyo timu yako kama kikundi chako wapika gongo wa yombo vituka mnajipya gani?? Wagalatia nyie
Liverpool ina miaka 30 bila kombe ligi kuu ,

Liverpool haijawahi kuchukua Premier (kombe walilochukua ni la Ligi Daraja la kwanza)

Liverpool alichukua kombe uingereza wakati sheria ya offside hapo

Shabiki wa Liverpool anatoa wapi kiburi cha kuongea utumbo humu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…