Mc cane
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 5,569
- 10,527
Watu wanaomdharau Lukaku huwa siwaelewi kabisaIcard ni gambling kuja epl.Lukaku bado ni potential aise ulimwengu wa sasa una pure 9 wachache sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo tunamuona Icard wa maana kwa kuwa hayupo timu yetu lakini akija probably tutamkataa
Tulimtaka sana Morata, kwa sasa tukiambiwa tumchukue sidhani kama wapo watakaomkubali
Tulimtaka sana Lindelof, tulimtaka sana Fred, tulimtaka sana Bailly, tulimtaka sana Micki lakini je bado leo tunawakubali kama kipindi ambacho tulikuwa hatujawapata
I'm sure kuna timu nyingi sana zinamtolea macho huyu jamaa, ngoja tujichanganye
By the way, msimu uliooita Lukaku was the fastest player at United, kwa wanaosema Lukaku is slow walitambue hilo
Sent using Jamii Forums mobile app