Dah HIV man u mnataka wachezaj wa aina gani lakini,
Mimi katika viungo nawakubali ni Paul pogba ,ana skills, ana mashuti, anajua kuassist, ana nguvu
Mnataka kiungo wa namna gani tena, huyu jamaa ni kati ya viungo bora watano duniani,
Kwanza pogba ndio mchezaji ambaye anaingia MOJA kwa MOJA kwenye falsafa ya man u ,ya kuattack kwa kushtukiza , anajua kutuma ile mipira ambayo huwa Mara nyingi rashford au lukaku wanafaidika nayo.
Huyu jamaa mtafutieni watu wakueleweka kama wawili tu, Pogba ni hatari sana, muangalie game za France , juzi kampa pasi MOJA Grizeman ,ile assist ni ya kiufund sana,
Sasa pogba mtafutien watu ,walio clinical,
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba